Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,501
- 857,855
- Thread starter
- #92,801
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Happy women's day
View attachment 1720255
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Happy women's day
View attachment 1720255
Kwani Daddy ulikuwa umejifichia wapi mpaka kimguu kikakuibua😀😀Guu limeniibua japo halijaonekana sawasawa. Jizazi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Binti hujambo?
Hebu hukoooooo😀😃😃Vidole vya mguuni vimebana ina maanisha kuwa yaliyomo yanaweza kuwemo
Halafu umevaa vizuri hiyo ndala
Tena alegee aniache kabisa binti yako nitulie niifurahie ndala yanguBageshi dah! Hebu muache binti yangu pulizi. Eti yaliyomo yamo kisa vidole vya mguuni vimebana? Ushindweee [emoji16][emoji16][emoji16] !!!
HujamboBhageshi kwema
Master unakula vitu hevi sana
Kwema. Tupo tu tunagonga ugali tu. Huko mnaendeleaje?Bhageshi kwema
Miye sijambo. Huko kwako kukoje?Kwani Daddy ulikuwa umejifichia wapi mpaka kimguu kikakuibua[emoji3][emoji3]
Sijambo Daddy..habari ya siku nyingi!!
Daddy nakushauri uoe kanda ya kaskazini hayo mashindano ya kula ugali utayasikia radio.Kwema. Tupo tu tunagonga ugali tu. Huko mnaendeleaje?
View attachment 1720345
Shemeji mamboHebu hukoooooo[emoji3][emoji2][emoji2]
Shemeji acha uchokozi na ndala yangu ujue
Huku ni salama sana ninaendelea kumtukuza Mungu kwa zawadi ya uzima.Miye sijambo. Huko kwako kukoje?
Nilikuwa sijapita huku siku nyingi. Leo napita tu mara paap guu hili hapa.
Sijambo shikamo mwalimuHujambo
Poa Shemeji..unaendeleaje??Shemeji mambo
Marahaba mwanafunzi.plizi siti dauniSijambo shikamo mwalimu
Huku tunaendelea vizuri mkuuKwema. Tupo tu tunagonga ugali tu. Huko mnaendeleaje?
View attachment 1720345
Mimi naendelea vizuri sana mpendwaPoa Shemeji..unaendeleaje??
Huku ni salama sana ninaendelea kumtukuza Mungu kwa zawadi ya uzima.
Yeah siku kuona siku nyingi kidogo..si nikakuhamu Sasa..nimefurahi kukuona tena.basi hicho kimguu kilikuwa ni zawadi yako Daddy
Nimebahatisha kuiona kabla haijafutwa . Byutifu [emoji91][emoji91][emoji91]
Mimi nimeichukua/iiba kabisa bhageshiNimebahatisha kuiona kabla haijafutwa . Byutifu [emoji91][emoji91][emoji91]