Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kanda ya kaskazini kwa weupe mko vizuri sana. Ishu ni ile department nyingine ile niipendayo sana...Na kwa Msukuma halisi, mambo yote haya mawili ni muhimu sana[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Daddy nakushauri uoe kanda ya kaskazini hayo mashindano ya kula ugali utayasikia radio.
Tuache masihara ugali ni mtamu