Sport pesa[emoji169]View attachment 1716757
Mfalme[emoji146]
[emoji6][emoji6]wachaaaa[emoji4][emoji4]una mguu matrata
Sijambo kabisa..habari yako na uwapendao hukoo[emoji6][emoji6]
Ujambo madame?
Wako swalama kbsa...twamshukuru mwenyezi munguSijambo kabisa..habari yako na uwapendao hukoo
Wako swalama kbsa...twamshukuru mwenyezi mungu
Binamu mwambie huyo ndugu apunguze kitambi[emoji38][emoji38]Sport pesa[emoji169]View attachment 1716757
Chibongeeeh.
are you kauzu???[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sasa hili ndiyo linaendana na mimi mkuu
umeeleweka bora umerud huku kwa karma mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Duuh
Basi bora nilivyolirudia hili la Karma maana hizo tabia za Karma ulizozielezea ndiyo mimi halisi! Zoe wala siyo mimi halisi (japo sidhani kama ni kweli nilikuwa hivyo ulivyosema)!
Picha hata sina Kalumbu! Ujue mimi sipendagi Picha sijui kwanini yaani napigaga kwenye matukio hadi matukio tu!
Nikikata kamba na kuchomoa chomoa hiyo miiba inakuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makao makuu ya chama chenu yamehamia mtaa wa MakunganyaView attachment 1716958
MonalisaSimba Queen yapata msemajiView attachment 1716979
Yeah Boss [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]