Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
It seems una wasiwasi...Kwanini aniambie yeye?
Wewe mwenyewe huwezi?
Mimi huwa napenda sana mtu aniulize mwenyewe kuhusu Mimi.
Asimuulize mtu mwingine.
It seems una wasiwasi...Kwanini aniambie yeye?
Wewe mwenyewe huwezi?
Mimi huwa napenda sana mtu aniulize mwenyewe kuhusu Mimi.
Asimuulize mtu mwingine.
Mimi nimeongelea tu kuhusu swala la kuacha pombe lilivyo gumu na changamoto zake.It seems una wasiwasi...

Hili ni boga eeh?
Yes ma'am 🙂Hili ni boga eeh?
Nayapenda sana.Yes ma'am
Unakulaga??
Mie pia sikuwa nimekula miaka mpaka ladha nilishaisahau. Ukiunga na nyanya yanakuwa matamu???Nayapenda sana.
Sijakula muda mrefu,inabidi niende kulisaka kesho.
Mimi huwa naunga na nyanya ..nikinywa na chai ya maziwa basi najisikia raha sana.
Yanakuwa matamu hatari.Mie pia sikuwa nimekula miaka mpaka ladha nilishaisahau. Ukiunga na nyanya yanakuwa matamu???
Ukipika please tupia picha pengine ntajifunza kitu.![]()
kalumbu had had nihakikishe jack kaacha aiseeSawa mchumba.
Ukifika may haujagusa pombe basi nitakupa zawadi yako.
geraldincredible wewe unaacha lini Kalumbu?![]()

Billy aachie wapi? nishamtoa kwenye list ya wenye mpango wa kuacha.
bwana sina ahadi kwa kweli kitakachotokea mbeleni tutajua...sitaki kuji commit kwa kwelBilly aachie wapi? nishamtoa kwenye list ya wenye mpango wa kuacha.
Tulishakubaliana atakunywa kistaarabu..kuacha hawezi yule.
Jack amesema March anaacha.
Mimi nasubiri tu kuona huo muujiza
Na wewe Kalumbu wangu weka basi ahadi ya kuacha.
kalumbu kapicha sasaBilly aachie wapi? nishamtoa kwenye list ya wenye mpango wa kuacha.
Tulishakubaliana atakunywa kistaarabu..kuacha hawezi yule.
Jack amesema March anaacha.
Mimi nasubiri tu kuona huo muujiza
Na wewe Kalumbu wangu weka basi ahadi ya kuacha.
Hahaha!bwana sina ahadi kwa kweli kitakachotokea mbeleni tutajua...sitaki kuji commit kwa kwel
Sina tupicha.kalumbu kapicha sasa
Boga nimekumbuka kwetu, woiiiiiiiih