Selfika na JF: Snap it. Show it

Imeshapitishwa hiyo
 
[emoji1][emoji1]kweli
Itabidi kifanyike pambano humu mshindi apate simu mupyaa kabisa...tufanye mpango ushinde wewe
Haha hata hivyo nina mpango wa kuuza hii ili niongezee hela ninunue nyingine yenye storage kubwa zaidi
 
Mi najua kuhusu ya Moro & Dar... kuhusu Mbeya nilikuwa sijui kwa kweli[emoji23][emoji23]
Ila ulipaswa useme kwa Mbeya wazuri 'tulikuwa tunahesabika' usijiache nje[emoji23]
Nani kasema?? Mie mwenyewe wale wale tu ndiyo maana nasema wazuri "walikuwa wanahesabika" lakini uzuri unatofautiana kati ya mtu na mtu maana mimi binafsi hadi mwanamke mwenzangu nimuone kama ni mzuri basi nimempitisha kwenye chujio hasa

Yaani sifa nilizoziweka za mimi kusema kwamba huyu mwanamke kweli ni mzuri hata mimi sina hizo sifa ndiyo maana hata mimi sijihesabii kama ni mzuri na wala hata siku moja hauwezi nikuta najisifia kuwa eti mimi ni mzuri yaani sijawahi kujikubali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…