T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,936
- 30,097
Karibu
Unatumia sana juic za kutengeneza mwenyewe !Sina maana kuwa unywe hiyo wine, sasa wine si ndo utatapika kabisa?
Vinywaji vya viwandani mie situmii kabisa.
Kampumzike Sheikh Sharrif Ahmed Badawy.
Elimu uliyosambaza Afrika mashariki na kati haina Kifani.
Mwenyezi Mungu akupe Kauli ThabitiView attachment 1699406
Mungu awape faraja wafiwa..Mama mzazi wa kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amefariki.
Mama Elizabeth amefariki akiwa na umri wa miaka 81.
RIP mama Klopp View attachment 1699408
Kumbeee..nilikuwa sijui aisewanaovaa hivyo wanapenda kuoa![]()
ohoooo ChickMagnet my love umeukosha moyo wangu.Ahsante sana mama ! Yani nimefanya special kwaajili yako ..
Your wish is my command 😘
AminMungu awape faraja wafiwa..
Bwana alitoa na Bwana ametwaa; Jina la Bwana lihimidiwe.


We alikwambia nani naweza kumsahau kipenzi changu.no one can replace him.repeat after me,,nobody!!Asikufanye ukasahau kuna mtu na nukta zake sasa![]()
Usinifunge kamba basi...Me mwenyewe nahisi ni wewe eti
We alikwambia nani naweza kumsahau kipenzi changu.no one can replace him.repeat after me,,nobody!!

Usinifunge kamba basi...
Sisi tunajua ni wewe
Nan kawambia ni mimi wakt mwenyew ata ajamtajaMimi,yeye na familia ndo tunaojuaNan kawambia ni mimi wakt mwenyew ata ajamtaja
Kwahiyo umeona kati ya hivyo vidoli vyoooote ukaona unizawadie kakucheka si ndio.basi ngoja na mimi nicheke