Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣aiseee
 
Uchawi upo jamani[emoji23][emoji23]..uchawi wa kibudha wa mshana.
Tangu saa 1 asubuhi hadi Sasa nipo humu.
Kesho sirudi humu..
Nilishakamilisha Uzi huu kwa picha ya mtu fulani Karma
😂😂😂Kuna wenzio wakisema hivi hivi na wakaishia kuja kurudi robo saa baadae..
Alichofanya mshana kwenye huu Uzi si poa kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…