T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,936
- 30,099
Habari yangu njema/salama kabisa mpendwaAbeeh ely habari
Habari za siku mkuu
Habari yangu njema/salama kabisa mpendwaAbeeh ely habari
Safi ely nafurahi kukuonaHabari yangu njema/salama kabisa mpendwa
Habari za siku mkuu
Akhsante sana kwa kufurahi kuniona mpendwaSafi ely nafurahi kukuona
Majukumu ely ndio maana tunapotea potea tukipata mda kama hivi tupo pamojaAkhsante sana kwa kufurahi kuniona mpendwa
Mimi pia nimefurahi kuona uwepo wako japo huwa unapotea sana ndugu








Ndio ndio
Achana na mgegedo bwana halafu wa mwanaume unayempenda
Watumishi wa Mungu mnisamehe tu mimi
Ukipika na ndizi naomba uni karibishe.
Asanteee, ndagha sana.Karibu sana
Hahhaha mama mchungaji ulivyoitikia mroho mroho tu
Asanteee, ndagha sana.
Nimeweka msisitizo.
Itabidi unifundishe KinyakiHahahahhaa sawa kabisa
Hahahahaha mama mchungaji mmenisamehe kwa kauli yanguNipo hapa mama Muinjili![]()
HahahahahYaani acha tu mama Muinjili
Mhhhh,Zoe ndo Karma
HajaachaZoe ndo Karma
DahHahhaa nakuona mama tukemee pepo la pombe
Karma ila beer tamu tumwambie ukweli mama mchungaji au tumwache kwanza





Hahhahah
AiseeHahhahah
Ngoja tukuache kwanza ila kabeer katamu bwana kiwe kabaridiii kanatoka toka jasho




Mwenza rafiki bado inaruka..Jamani jamani, minyoo ya kinyaki imesharuka tumboni
Aisee
Leo manara sina neno.
Hakuna aliye upande wangu.



