Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Hivi kumbe ni tamu eeh?
Anajisemeaga auntie yangu mapampula
Ila sisi sio mapampula sisi wanywaji tunakunywa kidogo tu
Mf hiyo Kilimanjaro inanoga kama soda gani?
Hivi kumbe ni tamu eeh?
Anajisemeaga auntie yangu mapampula
Ila sisi sio mapampula sisi wanywaji tunakunywa kidogo tu
Mimi mama niulize mambo ya heinekenn tu nitakachokujibu ni beer tamu ukinywa unasahau shida zoteHivi kumbe ni tamu eeh?
Mf hiyo Kilimanjaro inanoga kama soda gani?

Ewaaaaa hakikaaaHivi kumbe ni tamu eeh?
Mf hiyo Kilimanjaro inanoga kama soda gani?
Ewaaaaa hakikaaa

leo ume give up manara ume give up kunani??Aisee
Leo manara sina neno.
Hakuna aliye upande wangu.
Sidhanii... mwili ushaanza kuzikataa pombe,siwezi kunywa nyingi tena kama zamani.
Umekuja kusapoti mada au sio
Wewe nadhiani ndio mlevi namba moja humu
Inanoga kama fanta?Mimi mama niulize mambo ya heinekenn tu nitakachokujibu ni beer tamu ukinywa unasahau shida zote![]()
Wacha bwanaSidhanii... mwili ushaanza kuzikataa pombe,siwezi kunywa nyingi tena kama zamani.

Wacha bwanaSidhanii... mwili ushaanza kuzikataa pombe,siwezi kunywa nyingi tena kama zamani.

Mma kalumbu nditile,,ngateleleo ume give up manara ume give up kunani??
tukuage na kapichaMma kalumbu nditile,,ngatele
Duuh bado sijaelewaMtura...au nyie wa Dar mnaita Bomu