B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Sasa je 😂😂, baada ya mechi utalala unono besti,Silali kuna mechi ya mchangani mkuu![]()
Kuna usingiz afu kuna usingizi baada ya mechi ya kirafiki.
Sasa je 😂😂, baada ya mechi utalala unono besti,Silali kuna mechi ya mchangani mkuu![]()
Hii akiba na najiwekea nitavipitia kila kimoja na wakati wake,Ungakijua saa ambayo mwivu yuaja kuiba,ungelikesha ukimngoja.
Ungelijua saa ambayo utaibiwa ungelikaa ukiwa tayari.
Ni nani aijuaye siku ya kurudi mwana wa Adamu?hata malaika Mbinguni hawajui.
Kuna tenzi moja inaitwa liko lango moja wazi...ubeti wamwisho(4)
Hima ndugu tuingie lango halijafungwa
Likifungwa Mara moja halitafunguliwa"
Pia ukipata muda soma habari za Batimayo na tajiri.
Ukipata muda soma pia mpanzi (The parable)
Utakuwa umeelewa vibaya.Haya mawazo ndo chanzo cha uchafu wa roho zetu.
Sijahalalisha dhambi ila kauli yangu ni mbinguni mbaliKwahiyo unataka kusemaje??
Dhambi ya Musa haimpi uhalali mtu mwingine wa kufanya dhambi.
Kwanza Musa kabla ya kuitwa na Mungu(Bush burning)
Alishawahi kutenda dhambi pia,Aliamulia ugomvistory imenitoka..nimesoma Bible kitambo.
Anhaa nimekulewa mama.Utakuwa umeelewa vibaya.
Yeye yupo kwa ajili kama kutukamilisha.
Akishaingia ndani kuna vitu utaviacha tu.
Na kuna vitu ukitaka kufanya anakuambia kabisa hiki si sawa..ni wewe sasa kukaidi au kumsikia.
Ila akiwa hayupo,we kila kitu utaona fresh tu.
ooh inapendesaa... Tungekuwa wote ila jogging asubuhi inananisubiri...Safi.
Leo ninalinda jeiefu isiibiwe
yeah ni hivyoYeah au wawe clear kuhusu mada zinazotakiwa umo sio kuliondoa.
No aliwafata alikuja kuishi nao..Kwaio habari na mke wake ndo ziliishia pale au baadae walikuja kumtumikia mungu pamoja?
Shukuran mkuuHongereni sana
Kuna dogo pia nimempost tsap.
Mmependeza sana
Kimeumana tiali😎
Naona unakula chapati,maji na vipande vya nyama😆😆safi inakuwaga tamu hiyooo
Nimekumiss
Ooh madear sikuona,Mungu👈Anakumbuka fadhila
mungu 👈hakumbuki fadhila.zingatia neno
Mungu katika uandishi.
🥂🥂🥂🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Akuuu...nataka weupe wa majikhaaaah njoo tubadilishane na mie.
Dah 😃😃😃 umejua kunichekesha usiku huu.Naona unakula chapati,maji na vipande vya nyama😆😆safi inakuwaga tamu hiyooo
Mekumiss zaid...Nimekumiss
Ebr 10:25Hii akiba na najiwekea nitavipitia kila kimoja na wakati wake,
Vipi mti ambae haendi kanisani lakini anaomba yeye kama yeye ana nafasi kwa mungu?


