Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shetani alimgombania kwa sababu ya kosa alilofanya kule jangwani

Kwenye ule mwamba (marah-bitterness)
Uliokuwa na maji machungu

But nadhani Musa alipata nafasi ya kutubu kabla hajakufa pale Moab....na kosa lile lilimgharimu Musa kutokuingia Canaan(the promised land)
Unaona musa na kuongea na mungu kote still aliopotoka kidogo,
Alitubia lakini, mungu amasemehe.
 
Umeona kama mbinguni mbali... Huyo ni musa na dhambi yake moja tu
 
Yeah usiku flani ivi so mbaya kukumbushana,
Tuko na dada hapa, anivumilie na maswali napenda kujua,
Wanasema imani inakuja kwa kusikia napenda kusikia kwa wenye imani kama mimi inanisaidia na kunipa moyo siko mwenyewe na mungu yupo.
Ni vyema japo sio mahali pazuri anyway anyway ngoja bia zianze kujaa...
 
,
IMG-20210102-WA0009.jpg
 
Sawa,
Swali lingine watumishi wakiombea watu hua wanaona mapepo?
Ulishawahi kushukiwa na roho mtakatifu?
Tunatofautiana.
Si wote wanao uwezo wa kuona live,,kuna wachache wamepewa macho hayo.

Ndiyo nimewahi..
Roho mtakatifu nilipewa Mara baada tu ya kuokoka miaka mingi iliyopita.
Huwa anakaa kimya nikijichanganya kidogo,nikirudi basi anaendelea na kazi (Roho mtakatifu hakai mahala pachafu)

Kushukiwa nimewahi mara nyingi
Ila ninayoikumbuka Sana ni May 9,2019
Ilikuwa j5 nadhani.

Ile siku haijawahi kutokea tena kama ile hadi leo..zile nguvu zilikuwa za ajabu mno.
 
Kuna movie ya ten commandments, inaonesha kabla Musa hajaanza kumtumikia mungu alikua ameoa na mtoto mmoja je ni kweli?
Kuna movie ya ten commandments, inaonesha kabla Musa hajaanza kumtumikia mungu alikua ameoa na mtoto mmoja je ni kweli?
Huwez amin hiyo movie nimeicheki nikiwa mdogo na leo nimeiangalia 😅

Yeah musaa alipotoroka misri alienda midian akaoa huko mwanamke anaitwa zipporah akamzaa Gershon kama sijakosea na mwingine
 
Tunatofautiana.
Si wote wanao uwezo wa kuona live,,kuna wachache wamepewa macho hayo.

Ndiyo nimewahi..
Roho mtakatifu nilipewa Mara baada tu ya kuokoka miaka mingi iliyopita.
Huwa anakaa kimya nikijichanganya kidogo,nikirudi basi anaendelea na kazi (Roho mtakatifu hakai mahala pachafu)

Kushukiwa nimewahi mara nyingi
Ila ninayoikumbuka Sana ni May 9,2019
Ilikuwa j5 nadhani.

Ile siku haijawahi kutokea tena kama ile hadi leo..zile nguvu zilikuwa za ajabu mno.
Sawa nimefurah kufahamu hayo,
Ngoja niendelee kujijenga kiroho.
 
Unaona musa na kuongea na mungu kote still aliopotoka kidogo,
Alitubia lakini, mungu amasemehe.
Mungu anasamehe na kusahau kabisa.

Waraka wa kwanza wa Yohana kwa watu wote.
1:8
Tukisema kwamba hatuna dhambi,twajidanganya wenyewe,Wala kweli haimo mwetu.Tukiziungama dhambi zetu,Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote.

Hata mtu akiwa ndani ya Kristo ya kale yote hupita na tazama huwa mapya.

1yohana 2:4
Yeye asemaye nimemjua Mungu Wala hazishiki amri zake,ni mwongo Wala kweli haipo ndani yake.

1Yoh 2:6
"Yeye asemaye ya kuwa anakaa ndani yake,imempasa kuenenda mwenyewe vilevile kama ayeye alivyoenenda"

Amri kuu ya kwanza ya Mungu iliyojumlisha zote..
"Mpende Bwana Mungu wako kwa Moyo wako wote kwa nguvu zako zote na kwa akili zako zote"

Injili ya Yohana anasema"mkinipenda mtazishika amri zangu'

Pia sehemu nyingine anasema Msidanganyike Mungu hadhihakiwi..chochote apandacho mtu ndicho avunacho.

Kuna watu wamejipangia tu yaani anasema nikifika 50 ndio nitaokoka. Wacha nile dunia.. neema si ipo!
Mungu hadhihakiwi..ukimpenda lazima ufwate maagizo yake.
 
Back
Top Bottom