Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Alininyimanimecheka sana.......hivi @st annie ile saint anna ulimpelekea?? alisema anataka kuona kulewa kunakuwaje
Alininyimanimecheka sana.......hivi @st annie ile saint anna ulimpelekea?? alisema anataka kuona kulewa kunakuwaje
Mkuu pombe zimetugharimu tushatoswakallumbu sisi sio walevi...ni wachangia kodi ili nchi ikue....
usinambie hutopokea mahari kisa pombe
basi hatutalewa mama

kulaleeekMama nilikunyima?Alininyima
Pelekeni direct TRA(voluntary Tax compliance)kallumbu sisi sio walevi...ni wachangia kodi ili nchi ikue....
usinambie hutopokea mahari kisa pombe
basi hatutalewa mama
mapenz hayana kwann mkuu...hawez kukutosa kisa biaMkuu pombe zimetugharimu tushatoswakulaleeek
Club kuna pisi Kalimapenz hayana kwann mkuu...hawez kukutosa kisa bia
st Annie ni binti mwelewa apambane uwe unapigia home

Kwamba hujaiona nimeweka saa8 mchanaanyway tunaomba kapicha....
💫✨😴
sijaona nitagKwamba hujaiona nimeweka saa8 mchana
Hesabu gani tena🤓🤓Kunyweni Sana tu
Hesabu itapigwa baadaye.
😂😂😂Hata akiongeza miaka kumi fresh tu.
Ili siku ya mwisho mje kutoa hesabu vizuri...usinywe nusunusu..ukiamua kunywa basi kunywa kama jamaa hapo,tangu mchana yupo amekesha..hadi shetani akiona anafurahi kichizi yaani.
Bro umenichekesha sana ko utakaa na malaika wa mahesabu sio muoneshane🤣🤣Hizo hesabu tutapigiana tu![]()
Anakunywa home taratibuPelekeni direct TRA(voluntary Tax compliance)
Nilisema tangu Mwanzo siwezi mvumilia mlevi mimi.
Hahahahahahamwenye chake😂
Acha uvivusijaona nitag
Bro umenichekesha sana ko utakaa na malaika wa mahesabu sio muoneshane![]()

ndio tupigiane hizo hesabu na Mimi Nina hesabu zanguZa kwakeHesabu gani tena![]()
Beste niaje umepotea lini dar twende kidimbwiHahahahahaha
Enwei,Za kwake