Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ebr 10:25
Wala tusiache kukusanyika pamoja,Kama ilivyo desturi ya wengine,bali tuonyane;na kuzidi kufanya hivyo,kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia.

Neno la Mungu linatushauri hiyo

Unakuta mtu ndiyo ni kweli kabisa anaomba sana..na MUNGU amemsikia.
Akasema na mtumishi wake fulani kuhusu kilio na maombi ya huyo mwombaji.
Mtumishi anasimama anaenda kusema madhabani(Mungu amepitisha majibu ya maombi yako kwake)wewe haupo

Na ndiyo maana unakuta sometimes huko makanisani unakuta mtumishi anasema"Kuna mama hivi na hivi na hivi""halafu wewe hujaenda...upo kushandarize kuvyako.



Madhabahu ya Mungu ina nguvu..
Kuhani ana nafasi yake
Kila kitu kina nafasi na faida..na ndiyo maana hata zamani mahekalu yalikuwepo.
O haleluyaaa
 
Sijahalalisha dhambi ila kauli yangu ni mbinguni mbali
Ufu 2:10&11.

"Usiogope mambo yatakayokupata ,tazama,huyo ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe......."

"Uwe mwaminifu hata kufa ,Nami nitakupa taji ya uzima"

For with God all things are possible.



"Ili kila amwaminiye asipotee"
Yoh 1:1-
 
Back
Top Bottom