Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeona kama mbinguni mbali... Huyo ni musa na dhambi yake moja tu
Kwahiyo unataka kusemaje??
Dhambi ya Musa haimpi uhalali mtu mwingine wa kufanya dhambi.

Kwanza Musa kabla ya kuitwa na Mungu(Bush burning)
Alishawahi kutenda dhambi pia,Aliamulia ugomvi [emoji1751]story imenitoka..nimesoma Bible kitambo.
 
Kwenye hili tupo wengi tunao jipangia umri fulani tuanze kumtumikia munguπŸ’«β˜€οΈπŸ€”πŸ˜’βœ¨neema yake ituokoe tu.
 
Sawa nimefurah kufahamu hayo,
Ngoja niendelee kujijenga kiroho.
Roho mtakatifu ni mwaminifu Sana.
Anatusaidia kwenye udhaifu wetu maana hatujui kuomba vile itupasavyo[emoji116]

Roman8:26

Hivyohivyo ulivyo anakusaidia maana ndiye msaidizi na kazi yake ni hiyo kwa sababu tu dhaifu na kama tusingekuwa dhaifu basi kusingekuwa na haja ya yeye kuwepo.
Mtumie katika yote.

Ila ana sharti gumu..hakai mahali pachafu
 
Haya mawazo ndo chanzo cha uchafu wa roho zetu.
 
We Musa asingeenda kwa shetani hata kidogo mungu anakumbuka fadhila,
Sasa kwanini mungu alichagua wateule tu, kwanini wengine waangamie na kuteseka milele?
MunguπŸ‘ˆAnakumbuka fadhila

mungu πŸ‘ˆhakumbuki fadhila.zingatia neno

Mungu katika uandishi.

πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈ
 
Kwenye hili tupo wengi tunao jipangia umri fulani tuanze kumtumikia mungu[emoji94][emoji3508][emoji848][emoji22][emoji92]neema yake ituokoe tu.
Ungakijua saa ambayo mwivu yuaja kuiba,ungelikesha ukimngoja.
Ungelijua saa ambayo utaibiwa ungelikaa ukiwa tayari.


Ni nani aijuaye siku ya kurudi mwana wa Adamu?hata malaika Mbinguni hawajui.

Kuna tenzi moja inaitwa liko lango moja wazi...ubeti wamwisho(4)
Hima ndugu tuingie lango halijafungwa
Likifungwa Mara moja halitafunguliwa"


Pia ukipata muda soma habari za Batimayo na tajiri.

Ukipata muda soma pia mpanzi (The parable)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…