B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
Hujawai kunywa pombe, hulka ya mtu ni very different sio kwamba ukinywa ndo unakua ivo la hasha,Distinctive unacceptable features[emoji23]
•Ulevi
•Udanganyifu
General unacceptable features
•(siitaji)
Tena kuna watu wakinywa sasa ndo wanakuambia ukweli, wakiwa hawajanywa wanafichaficha, pombe ni ka starehe tu kazuri hakana shida🤓