B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Post #89, 111 uliongelea 'Udanganyifu'Wapi nimesema hilo?
Post #89, 111 uliongelea 'Udanganyifu'Wapi nimesema hilo?
Maandiko yanasema hivyo kama mussa alikuwa ni wa Mungu 100% kwann shetani alimgombania...???We Musa asingeenda kwa shetani hata kidogo mungu anakumbuka fadhila,
Sasa kwanini mungu alichagua wateule tu, kwanini wengine waangamie na kuteseka milele?
kalumbu katiliEndelea kununa
Icho kitabu kinatisha dah,Natamani usome aya ya mwisho tena.
Uliloongea wewe kwamba Mungu anatujua kabla ya hatujatungwa tumboni mwa mama zetu ni Yeremia
Soma Ufunuo wa Yohana na MUNGU wangu akubariki Sana.
Ni kitabu Cha mwisho kabisa kwenye Biblia
Kuna watu wanasema tunaenda kwa Neema.Neema huisha mtakatifu..
Duh kweli mambo ya ki-ungu ni mapana sometimes ni kheri usitafute majibu ya maswali hutoyapata.Maandiko yanasema hivyo kama mussa alikuwa ni wa Mungu 100% kwann shetani alimgombania...???
Ndo ujue Mungu wa upendeleo anafanya haya yote ili tubaki kumshangaa tuu...
Ni moja ya sifa nilizotaja kwamba siwezi zivumilia kwa mtu..Post #89, 111 uliongelea 'Udanganyifu'
😁😁 na kweli. Asante kwakunikumbusha 🙂 I'm super careful though.Uwe makini shetani alivo M-baya unashanga umeshtuka chai kwenye keyboard 😭
Kwenda Mbinguni ni fumbo siku zote...Kuna watu wanasema tunaenda kwa Neema.
Ni kweli...hakuna mwenye mwili hata mmoja ahesabiwaye haki mbele za Mungu kwa matendo ya sheria.
Neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunguliwa...
Watu huwa hawamalizii kwamba Neema hiyo inatufundisha kukataa ubaya .....
Majibu yote yapo.Duh kweli mambo ya ki-ungu ni mapana sometimes ni kheri usitafute majibu ya maswali hutoyapata.
not sure.That's it. ✨💫😁😁 na kweli. Asante kwakunikumbusha 🙂 I'm super careful though.
Nataka usome tu mstari nilioweka paleIcho kitabu kinatisha dah,
Nilishawahi kukisoma mda mrefu kidgo nilikua naogopa kinoma.
Mno yaanikalumbu katili
Yeah ndo hivyo kikubwa kishike kile unachokiamini ni sahihi...Duh kweli mambo ya ki-ungu ni mapana sometimes ni kheri usitafute majibu ya maswali hutoyapata.
Sawa,Majibu yote yapo.
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Hosea 4:__(?)6not sure.
Tafuta sana maarifa.
Kabisa kaka mimi nimeamua kuamini kuna mungu,Yeah ndo hivyo kikubwa kishike kile unachokiamini ni sahihi...
Leo tumemkumbuka Mungu sio😎Sawa,
Swali lingine watumishi wakiombea watu hua wanaona mapepo?
Ulishawahi kushukiwa na roho mtakatifu?
Kila mtu atahukumiwa kutokana na sheria inayomwongoza...Kabisa kaka mimi nimeamua kuamini kuna mungu,
Lakini changamoto ambae hata mtumikia mungu haendi mbinguni.
Shetani alimgombania kwa sababu ya kosa alilofanya kule jangwaniMaandiko yanasema hivyo kama mussa alikuwa ni wa Mungu 100% kwann shetani alimgombania...???
Ndo ujue Mungu wa upendeleo anafanya haya yote ili tubaki kumshangaa tuu...
Yeah usiku flani ivi so mbaya kukumbushana,Leo tumemkumbuka Mungu sio😎