Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kulipa kimasihara nikutaka ujue..yani mpka unanitafuna jua mimi mwenyewe nilikuwa nikikutamani sema nilikuwa nasubiri tu unianze.

[emoji38][emoji38]eti unapiga marufuku..
Kila mwanamke anatabia zake lakni huyo anepigwa game akiguswa tu mbona kazi anayo..maaan atakanyagwa sana kama barabara na kila mpka rangi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Nijichetue anivunjie adabu.
Naweka uso wa mbuzi ukiniona huwezi amini.hawanaga adabu wale ukiwalegwzea wanakukosea adabu hadharani..na mimi na mtu wa kunivunjia heshima ni fasta tu nakubadilikia bila mategemo
Upo km rafik angu yaan yeye akiwa anasafishwa hivyo anakua uso wa beberu, utadhan ana ugomvi nao, bas mie huwa nacheka mbavu sina, mwanzon nilijua hapendi ila anajilazimisha, kumbe akaja nambia km wee ulivosema.
Hongera kipendhiiiiiii heshima muhimu.
 
Njaa za usiku.
MVIMG_20210122_211032.jpg
 
Kama kibubu kimejaa huwezi kuwa comfortable I guess[emoji23][emoji23][emoji23]
Asikuzingue huyo Anne[emoji23][emoji23], akupe ujaribu kabla. Mbuzi hauzwi kwa gunia..

kidding!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua tu utapita hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwanza nilitaka kukuita uone vile nimekutana na wachumba wawili kwenye huu uzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama kibubu kimejaa huwezi kuwa comfortable I guess[emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna
Ndivyo nilivyo tu..huwa nasense haraka sana..ilikuwa hadi kupaka watoto ilikuwa changamoto,naona ananitekenya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom