Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

La siku ile hilo apo unataka sasa nisemwe na kitambi changu [emoji1787][emoji1787] ila najua utaniteteaView attachment 1682533
Mtetezi wako ninaishi nipo Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Haka kamekupendeza zaidi[emoji7]

Kumbe unato twingi,ntaomba kamoja,uzuri naona tunaendana miili[emoji7][emoji3590][emoji3590]
 
Mchana ndio inapita hio mpaka usiku Tena ,,, [emoji1787] unazoa chips na mikono wew mwanamke unazijua table manners? Tusije kwenda hotelini ukaniaibisha
Yesu wangu[emoji134]
Ngoja nianze maombi hapa, haiwezekani unataka kuwa Kama wa DAR afu nikuangie tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi ukinipeleka hotelini nitaomba maji ninawe..maswala ya kulia vijiti sijui Uma mimi bwana siyajui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu nazaliwa hadi umri huu mimi nakula kwa mikono tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi chips mnazipendea nn? Ktk chakula nimeshindwa bas chips, bora mihogo ya kukaanga lol.
Chips tamu wewe asikwambie mtu[emoji23][emoji23][emoji23]uweke na pilipili,kachumbari,yai pembeni na mishkaki[emoji119]
Mimi mihogo naipenda ila siyo kama ninavyopenda chips
 
Back
Top Bottom