Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahhaha msemaji wangu umenisaidia
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahhaha msemaji wangu umenisaidia
Sijawahi kukuona
Jomoneeh rudi huku nimekumiss moaahHuko bara ngoja kwanza[emoji38][emoji38]
Sijaona mie dea hiyo picha, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Bill huwa ananiambia mimi na kitambi we Ely hujawahi niambia
Juice ni tamuuuuh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Yaani umekaa kilokole mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yes sura ya kitume kabisa , mamamkwe atanipa mwanae bila kua na shaka
Kwamba niirudishe tenaSijaona mie dea hiyo picha, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Imekaa kipole ila nikiwa siriaz inakaa kikauzu sanaMimi mlokole sana ,, kwahiyo wew sura yko imekaa kiujanja ujanja [emoji23]
Naendelea vizuriNa hata milele
Mambo
Unaendeleaje?
Ndyo mammy mbna simple tyuuh eti?Kwamba niirudishe tena
Hatimaye leo nimebahatika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sicheki,nilishawahi lala nyumba moja ugenini, usiku nikala wali wa kuhesabiwa na vipande viwili vya nyama na glass ya wine,wine ndiyo ikaongeza njaa zaidi, asubuhi ilibidi nitafute banda la mamalishe na pusha nikazoa mji.
Na una bahati sana coca huyo amesababisha niirudishe tenaHatimaye leo nimebahatika
Kagauni[emoji3590]
Na wewe weka mpendwa tupate bahati.Hatimaye leo nimebahatika
Hilo hata kwa hela sivai[emoji23]Hivi si huwezagi kuvaa
Mda wa kuifuta umefika [emoji1787]Ndyo mammy mbna simple tyuuh eti?