Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mama mchungaji umetokea wapi coca kasababisha yote haya hii picha niliifuta mdaMama Muinjili nakusalimu katika jina la Bwana. Ahsante
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mama mchungaji umetokea wapi coca kasababisha yote haya hii picha niliifuta mdaMama Muinjili nakusalimu katika jina la Bwana. Ahsante
Huyu dada huwa anakuja ghafla kama upepo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mama mchungaji umetokea wapi coca kasababisha yote haya hii picha niliifuta mda
Hivi hili ndilo la siku ile umeweka picha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mama mchungaji umetokea wapi coca kasababisha yote haya hii picha niliifuta mda
Nimesreen shot kabisaaa.
Hallelujah malaika wana nguvu sana mama mchungajiAhahhha malaika wameniita eti
Eeenh uifanyie nini etiNimesreen shot kabisaaa.
Unavuma kama upepo wa siku ya pentecoste[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miss you mdogo angu
Niwe naiangaliaangalia tu maake siyo kwa hicho kipot.Eeenh uifanyie nini eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]we jamaa unanivunja mbavu zangu Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ushakula ganja zako unapewa wali wa kupimiwa kama wa kwenye harusi za kishua afu kupiga round ya pili unaona so,ukiangalia hotpot wali umebakia kama vijiko kumi,afu kuna mtoto mdogo pale nawaza akisema sijashiba ataongezwa nini au ndiyo nakula bajeti yake.
Lile lilikuwa refu kidogoHahhaha hili lingine mpenzi la siku ile lilikuwa black tupu kuanzia kiunoni kushuka chini
Hahhahahhaha yaani ghafla tu huyu apa
Hallelujah malaika wana nguvu sana mama mchungaji
Yaani kuna muda unaweza weka picha ikakaa sekunde moja,ukaitoa ukijua hakuna aliyeona..kumbe yeye alishaiona[emoji23][emoji23]Hahhahahhaha yaani ghafla tu huyu apa
Huu Ni mwaka wa mabadiliko Sana[emoji7][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
AmenAmina
Vizuri sana kama unaendelea vizuri mpendwa
Hizo chips ni za kuonja au ndio lunch[emoji134]Mwezi dume chips dume View attachment 1682529
HahhahhahahahaHuwa ninavutwa tu na harufu ya picha[emoji23][emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji7] ila sikuoni vizurikaribu Anne.View attachment 1682532
Woooooooow mommy ur so beautiful [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]