Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Stick inachosha mikono.[emoji38][emoji38][emoji38]hutafaa
Kuhangaika kuzichoma choma Tena chips na Stick mambo gani Sasa[emoji23][emoji23]
Zinatakiwa ziingie mdomoni kwa mapumziko na Raha kabisa.
Mimi mabandani at least huwa najikaza nalia stick ,napo kama hakuna kabisa maji ya kunawa.
Nikiwa nyumbani aisee ni kuzoa tu..tena nazoa hata 3 3