Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani anne wewe mimi kabisa
Bora hata wewe umekaakaa mjini huko daslama..Sasa Mimi wa vijijini huku halafu eti nikapewe vijiti jamani[emoji23][emoji134]
 
Hahaha za mwanzo zimeshafutwa
[emoji44][emoji44]
Ngoja niwaambie mods wagome kuzifuta Kama ilivyowahi mtokea dada Fulani humu kipindi Uzi unaanza Anza..aliweka picha,kuifuta ikawa haifutiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nimecheka had baas, nakumbuka 1St yr ile mwanzon nilienda cafe sasa nkaagiza wali na samaki, nkaletewa kijiko mie huyu nkanawa mkono nazoa wali.
Muhudumu akaanza kucheka afu kwa sauti, mie skujari nkala zangu nkalipa, ile natoka anauliza "umetokea mkoa gani" nkamjibu alizidisha kucheka,

Mie huyo nkasepa zangu wala sikujari aaaah, kijiko na umma ni kuchelewesha mlo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ukinikuta nimekaa cafe ujue nimekalia ugali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Show ya ugali, Tena unakuta nimekaa meza wanakuja na wakaka wanakula ugali..
Aloo hapo ni kumenya ugali na mikono hadi napukutisha sahani..nikitoka hapo naenda kupiga pindi fresh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa akaanza kukucheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui mkono ni rahisi kulia kuliko kijiko[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mammy wee acha tyuuh mazoea yana tabu, si unajua maisha ya kijijin, afu huwa swezi kufake yaan, na venye mjini tumekuja kwa lorry la mazao ya chakula bas tabu tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nakutania hicho kionjo tu ni Kama kisafisha njia naenda kula ugali kitimoto muda si mrefu ubebe gunia halafu ule vimbogamboga hivo maana huku chips wanaita mboga,
Ningeshangaa[emoji23][emoji23]
Hizo chips mimi hata kwa kuonja tu hazinitoshi,sembuse wewe unayeenda inua mahindi[emoji44]
 
Back
Top Bottom