Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa binamu, ngoja itokee fursa nije, lakini hata wewe unaweza kuja nitembelea banah kwani huku hakuna swimming pool [emoji474]
Nikija uko nitataka kwenda kupanda mlima binamu...kama utanipeleks kilamanjalo naja likizo ijayo mwenz wa6 [emoji39]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Gucci gang eti ulikuwa na mpango ws kupits ukaons uweke pause hspa selfka kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sauti wallah
Eeh bhana
Sasa napanda kidogo naona mbna watu wanaquotiana nikibonyeza quote inazidi kunoga mpaka nikaona niweke kambi nipo huko juu juu huko mambo yalipochachamaaa
Na nahisi kawiki haka ntakua napita pita kidogo humu
Vp lakn u mzma?
 
Kumbe introvert mko hivi sikujua
 
Eeh bhana
Sasa napanda kidogo naona mbna watu wanaquotiana nikibonyeza quote inazidi kunoga mpaka nikaona niweke kambi nipo huko juu juu huko mambo yalipochachamaaa
Na nahisi kawiki haka ntakua napita pita kidogo humu
Vp lakn u mzma?
Dah umenichekesha sana jmn

Sijambo mkuu
 
Hapana siwezi kukaa maana nawahi sehemu

Huu uzi umekuwa wa moto mno

Wacha nipite tu........
Hahhahaa ukiwa wa mto hvi ndo unavo zidi kuwa maarufu kungekuwa na tuzo mbona tungebeba kombe mwaka huu [emoji7]
 
Nimekuelewa haswaaah mkuu, tena uko sahihi kabisaaah, na nafahamu humu wapo watu wa kila aina, na najua privacy ni jambo la lazima kwa kila sehemu hasa suala nyeti (baya au zuri) ,

Nafahamu kuwa ni kosa picha za maudhui Yale kupost humu, na nimeshafuta na nimeomba msamaha kwa wadau wote wa huu uzi. Najua wamekwazika.

Ila naomba mtambue kuwa na mie ni binadamu mwenye moyo wa nyama pale attacks zinapokuja kwangu halafu kuwepo na matusi, kejeri na maneno mengine yasiofaa huwa nakwazika na kuumia. So huwa najibu mashambulizi kwa namna yeyote kwa hali nitakayokua nayo wakati huo.

Kutoa hoja ya mabadiliko kwa m2 sio kejeri na maneo mabaya, mbna kuna mbinu za kistaarabu tyuuh na ikaeleweka. Kuliko kutoa rubbish zisizo na maana.

Halafu km kuna m2 anakwazika kupitia mie, simple tyuuh hii forum ina sett ya ignore na block, ku click tyuuh hizo sehem bas case kwisha, kuliko kila nakopita mie yeye ananifata kutoa attacks zake kwangu, mie huwa naenda nae vile vile km anavotaka.

Kila m2 ashinde match zake.
 
Best hali ngumu sana kuliko kuagiz amarula si unidababishie tu kwa tigo pesa yangu chapu
No iko wapi sasa wee, mie nikusababishie na ya kutolea, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…