Selfika na JF: Snap it. Show it

You funny,
Unatushangaa kama akili zetu ni timamu really wakushangaa ni wewe, mtu mwenye akili timamu hawezi kuenenda kama wewe,
Nani anataka kukubadilisha na wewe ushalowea tayari😑,
Tunachotaka usilete content za ushoga hilo tu kaa nazo wewe mwenyewe,


Wazazi wako wamekushindwa ee alafu unajitapa ee 🤣🤣 ngoja nifanye mawasiliano nipate iyo contract nikunyooshe.

Kidding
 
hey hey hey take a loong breathe and relax mjadala achana nao huo ujumbe ushafika tutaendelea kukemea vikali hadharani regardless na sisi tuna dhambi kiasi gani
Sasa amechanganyikiwa anaanza kuniambia masuala ya kuanzisha uzi..ingekuwa hivyo basi mshana angekuwa anakataza watu wasichangie uzi,achangie mwenyewe.

Nilimwambia muhusika atoe picha na picha alishatoa na yakaisha ila leo anakuja kuumia mtu mwingine,Kama siyo wendawazimu ni nini?
 
My lovely cocastic kws ufahamu wangu sizani kama kuna mtu anakupangia namn ya kuishi mpenzi

Ila kinacho ongereka hapa ni the way maisha yako unayo dai ni yako waishi utakavyo kuwaonesha watu public tena watu walio kuwa wanakuheshimu

Ila unacho kifanya ingebaki kwenye maisha yako tu usingeshare na watu ina maan usingesikia hzi kelele zote

Ila mpk umeamua kushare hapa kwa umati wa watu ina maan uliamua kuwaonesha maisha yako yakoje,na ndo maan hapa jf watu awaweki maisha yao hadharan au kupost picha wakaachia sura zao..

kukubali kushindwa siku zote ukufanya mshindi kwa yule unaye shindana nae..lilikuwa jambo la wewe kutaka radhi kws hyo picha uliyo weka na maisha yakendelea

Binafs hzo hyo picha hakuna aliye hifurahia ilo ndo unatakiwa kulijua na hakuna ata mmoja anaye kusaport

Msema uongo na mshihudia uongo wote ni wadhambi sasa ukitaka mtu akutetee kwa ulicho kifanya kwa hyo dhambi unamfanya na yeye ashiriki hyo dhambi

Kulekebishana kupo pale mtu unapo kosea
Na ukirekebiswa kubali kulekebishika..

Kingine humu wamo watu wa kila aina wenye heshima zao na makahaba pia wanapatikana humu isitoshe ata mashoga wamo tena wengi tu lakn kwa vile kila mtu anaishi na maisha yake ndo maan unaona kila wanacho kifanya wao ubaki kwako

tukikutana humu unaweza fikiri wote ni wasamalia wema lkn sivo hvo ila ni vyenye watu wanaheshimu tu mambo yao binafs

Natumai umenielewa mpenzi
 
Mie niko timamu ki akili na exposure kubwa, wanaonijua wanafahamu nikoje. Yaan nashukuru Mungu kaninyima vingine vyote, kanipa akili kubwa, ufahamu, uelewa na msimamo thabiti. Najivunia hilo.

Huwezi kuniyoosha mie, labda mie nikunyooshe wee.
 
Mie niko timamu ki akili na exposure kubwa, wanaonijua wanafahamu nikoje. Yaan nashukuru Mungu kaninyima vingine vyote, kanipa akili kubwa, ufahamu, uelewa na msimamo thabiti. Najivunia hilo.

Huwezi kuniyoosha mie, labda mie nikunyooshe wee.
Hakika wanaokujua ni wengi wakubwa kwa wadogo,
Tuhurumie sisi wengine watu kama nyie hatupendi ata kuwafahamu sembuse kuwajua lakini hulka yenu hua mnataka mfahamike,
Mwisho usiposti content za ushoga tafadhali, kaa nao ndani kwa ndani na wenzako usishee humu, wala kutaka kujikweza kisa wewe shoga BIG NO.
 
Binamu Hiyo picha alioweka ni picha ipi hebu I post tena nishuhudie, ila nyie mlikua wapi mbona hamkuwahi kumshauri zamani, maana mimi najua kama ni shoga siku nyingi sema nikawa tu napotezea kwa kuwa tunakutana hapa kujifurahisha tu na kuendelea na mambo mengine,
 
Hata Mimi sijawahi kupigwa ban na sitamani isababishwe na kichaa kama wewe.
Jitahidi basi Kama huwashwi usitake wengine wawashwe.

Huyo dada unayemjibu alicomment kutokana na comments zetu kule juu,hata wewe ulivamia comment yake,,hakukuquote basi hata wewe shobo zimekujaa na zikakutekenya ukaja kuropoka humu.

Kumbe unajua Kama kila mtu ana matumizi yake ya jf??basi jitahidi kutokereketwa na post za ushauri wa watu wengine.
Mimi ni mtu mzima,sasa sijui unataka nikuaje..nilishakua na ninajitambua mno.
Iceberg9
 
Hatukumjua kbla binamu..ata hvo hatumkatazi ila yabaki maisha yake binafs vitu kama hvo sio vya kushare public

Binamu tuachane na hzo habari bhna unarudi lini
 
Yeaaah nimekuelewa tena upo sahihi wala sikupingi, unajua hakna mtu yupo buzzy na maisha yake km mie, najua kila mtu ana maisha yake binafsi nje ya hii forum,

Ila tatizo ni kuwa kuna mtu alipojua kuwa uhalisia wangu ukoje yeye kaanza kun attack kila sehem nayopita ndan ya hii forum, na kila nacho comment lazima atoe attacks zake.

Sasa juzi kuna mazungumzo ya kuhusu mlima mkali kati ya kitonga na ule mtera, mie nkatoa hoja kuwa kitonga n mkali, maan huwa napita kwenda home na kuja huku niliko, yeye akaanza kusema kuwa isiwe natokea mkoa fulan akautaja nahisi ni kwao huko, ki ukweli ile comment iliniuma, nkaona ngoja nimuoneshe kua mie ni kichaa zaidi yake,

Ktk majibizano yeye akawa analeta attacks zake plus matusi na kejeri, mie nkaona nimuoneshe na picha ili aone uhalisia wa kile tunachojibizania. (Kwa hapa nakiri nilikosea na nilijua ni kosa ila hasira zangu zilifanya niweke tyuuh, NAOMBA MNISAMEHE SANA.)

Napenda kutoa hoja kwamba kuwa mie Gay hakuna ninaye mpunguzia au kumuongezea kitu, na uhalisia wangu uko hivyo siwezi kufake coz nahitaji kuwa real, ningeweza kuwa na ID ya kike ila ningekua ktk kifungo huru. Na hata uraiani nipo real ila ndan ya kiwango fulani, na naishi kwa kusimamia misingi ya taratibu, kanuni na sheria za nchi zilizowekwa. Na naheshimu na kufuata mipaka yangu kwa jamii inayonizunguka.

Maisha zawadi furaha,, maisha zawadi kwa JAH.
Kikubwa kumudu karaha, visa visasi baraha.

Tunaishi mara 1 tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…