Selfika na JF: Snap it. Show it

Trh 15
 
Acheni kulea mashoga katika uzi huu. Shoga linajishaua humu mpaka na picha za mabasha yake linaweka nyie mpo mnachekelea tu. Hata ufutwe tu ni sawa. Hamkitakii mema kizazi hiki! You condone faggotism?
 
Acheni kulea mashoga katika uzi huu. Shoga linajishaua humu mpaka na picha za mabasha yake linaweka nyie mpo mnachekelea tu. Hata ufutwe tu ni sawa. Hamkitakii mema kizazi hiki! You condone faggotism?
Wewe sio wa kwanza na hizi kampeni walikua viongozi na mataifa kupinga ushoga lakini wakaangukia pua, papa mwenyewe anaunga uhuru wa watu kuchagua wanachokipenda, kwanza mpaka mtu awe shoga huyo mtu kashafanya tafakari sana na madhara anazijua unakuta ameshafanya maamuzi, sasa usije na hoja nyepesi uzi huu unapendekeza ufutwe, kuna watu wanajiona wakiingia jf bila kupita hapa hawajafurahi sasa kero ya mmoja usichukulie ni ha majorit , mbona kila uzi humu jf wapo,

Cha msingi ni kuboresha malezi yani hili jambo la ushoga lianzie kwenye ngazi ya familia, wazazi mpo busy mnawasahu kuwa na malezi bora ya watoto wenu katika umri wa udogo kabisa, sasa unakuja kumshauri mtu mzima wote mwenye akili zake timamu
 
Msijihesabia haki na mkajiona hamna mapungufu mbele za Mungu baba, kila mmoja wetu hapa ni wadhambi na msisahau hakunaga dhambi ndogo wala kubwa zote ni dhambi kumu ipo pale pale, sasa msinyoshe vidole kwa mwenzenu wakati na nyie ni wachafu vile vile ni wadhambi vile vile, Mungu sio kama binadamu yeye ni mwingi wa rehema na anazitambua njia zetu kuliko sisi wenyewe, msihukumu kabla hujakumiwa. Kile kibanzi cha mwenzako jichoni..... Anza kusafisha jicho lako kwanza ili uone ya mwenzako vizuri..
 
Bro unatetea dhambi za waz Waz zikemewe
 
Dhambi ikemewe mkuu. Sio kuipigia makofi wakati ikitendeka.
 
Bro unatetea dhambi za waz Waz zikemewe
Siungi mkono na wala sioni umuhimu wa kutumia nguvu nyingi sana kupiga katazo, hivi kuna asiejua kuwa ushoga ni dhambi na madhara yake yote, mimi nashauri njia ingine zaidi ya kupambana na hili muanze kwenye family zenu sasa mkipiga kelele kwa mijitu mizima huku si kutwanga maji kwenye kinu
 
Binamu uvumilivu umenishinda wallah achana na habari ya mashoga kila mtu atavuna alicho kipanda

Ebu niambie kwanza trh 15 ilikuwaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…