Selfika na JF: Snap it. Show it

BAK si nilikuambia ukawa unanibishia haya sasa njoo huku
 
ndio mkuu hata title ya uzi huu umekaa kichoko sana Huyo choko wamemlea humu sana eti Leo ndo wanashtuka
Watu Wanajua jike kumbe dume, nenda kwenye ule uzi wa magari uone anavyodeka mule, Yan hutoaamini jaman.
Huyu mbona tangu kitambo tu wengine tunamfahamu
 
BAK si nilikuambia ukawa unanibishia haya sasa njoo huku
Wee na huyo unae mquote mna kazi kweli, mnabishana kuhusu jinsia ya m2? Tena hamjawahi kumuona? Mnaamini maandishi ya mtandaon nyuma ya
? Haya kazi ni kwenu endeleeni kubishana hivyo.
 
Watu Wanajua jike kumbe dume, nenda kwenye ule uzi wa magari uone anavyodeka mule, Yan hutoaamini jaman.
Huyu mbona tangu kitambo tu wengine tunamfahamu
Kwamba una amini kila kitu nachofanya n real? Sasa kwani kuna cha ajabu kipi? Hebu mniache bhana. Khaaaaah
 
ndio mkuu hata title ya uzi huu umekaa kichoko sana Huyo choko wamemlea humu sana eti Leo ndo wanashtuka
Eh eh jamani kama mmeamua kupambana na huyo mtoto basi pambaneni naye kivyenu msimhusishe na huu uzi

Huu uzi tuko nao humu tangu mwaka juzi tena hata kabla yeye hajajiunga JF na hakujawahi kuwa na shida

Mtu anatoka huko alikotoka kashashiba zake mmea uzi kaujua juzi anakuja kuropoka humu eti huu uzi ufutwe wtf

Wengine tunafahamu status ya huyo mtoto tangu muda mrefu na wapo waliojaribu kuongea naye ila imeshindikana

Wengine mmemfahamu juzi tu mnataka kuanza kelele eti tumemlea ninyi mnajua ni watu wangapi wamemkanya humu

Wameshindwa kumbadilisha wanaoonana naye kila siku ndiyo mtaweza kumbadilisha ninyi mnaobwata nyuma ya keyboard
 
Unautetea sana huu uzi.πŸ˜‚
Nami nasema ufutwe tu...πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…