Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

aisee mambo ya mahari bana hua yananifurahisha Sana Mara utasikia mkaja wa mama hahaha unazidi toa hela tu ..Mimi nikija kwenu nikiona invoice inazidi nasimama nasema jamani naona kuoa bint yenu haikua ridhki yangu nimeshindwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza ukifika unaulizwa wewe Ni nani?
Unajibu"Billdrago"
Ndio nani?[emoji23][emoji23]hapo ujue wanataka hela
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee itabidi kabla nionane na mama mkwe angalau awe mtetezi wangu siku hio kuja kichwa kichwa noma
Ni hela chache tu[emoji23]
Usiogope..ukiulizwa hivyo unatoa yoyote,hata elfu 5 tu ya kujitambulishia jina.
 
Habari zenu wakuu
624b1300b26a41c89c1765b39b1b2ae8.jpg
 
Back
Top Bottom