sawa dogo kila mtu aishi maisha yake Ila unayo nafasi ya kubadilika Kama case yako haihusiani na hormonal imbalances Ila Kama umejifunza tu tafadhari dogo badilika muombe na mungu pia na usione ufahari Sana Labda ungekua nchi za mabeberu huku afrika hio haikubaliki katika utamaduni wetuSasa km unakemea hilo na adhabu zake unazijua ni wazi ukaanza kutekeleza kwa vitendo, sio maneno tupu km serikali ya Tz inapinga kwa mdomo huku vitendo ni [emoji2388].
Mbona wapo wengi wanaojitangaza wazi wazi na sijawahi ona wakipewa hizo adhabu. Au mie ndio sielew?
Mf, James Delicious anajiweka wazi wazi na alishatoa maudhui ya hilo suala hadharani, kilichofuata kukamatwa na kuwekwa rumande siku 3 katoka nje yupo uraiani anaendelea na maisha yake,
Akaweka tena maudhui hadharan, akaamriwa fine 5Ml zikatolewa case kwisha, sasa hizo adhabu unazozisema wee kutoka wapi? Km kutoka ktk vitabu vya dini mbona sijawahi ona dini au dhehebu lolote kuwahi kutekeleza hizo adhabu, ingali wapo wanao onesha wazi wazi suala hili hadharani.
Ni muda sasa jamii iwe buzzy na mambo ya msingi na yenye tija ktk kuleta maendeleo ya Taifa kwa ujumla, na sio kuwa buzzy kupinga suala la rasilimali ya mtu binafsi, tena ikiwa hawawezi kutatua tatizo hilo kamwe, ni upotevu wa muda.
Live ur own lyf, n mynd ur own bznes.
Tunaishi mara 1 tyuuh..........
Adui huwa hatoki mbali kabisa na kingine na walivyo wengi sasa maccm lazima kila mmoja alinde ugali wake
Usibadilike acha vijana wale tope, fanya unavyojisikia unaona kwako ni rahaSasa km unakemea hilo na adhabu zake unazijua ni wazi ukaanza kutekeleza kwa vitendo, sio maneno tupu km serikali ya Tz inapinga kwa mdomo huku vitendo ni [emoji2388].
Mbona wapo wengi wanaojitangaza wazi wazi na sijawahi ona wakipewa hizo adhabu. Au mie ndio sielew?
Mf, James Delicious anajiweka wazi wazi na alishatoa maudhui ya hilo suala hadharani, kilichofuata kukamatwa na kuwekwa rumande siku 3 katoka nje yupo uraiani anaendelea na maisha yake,
Akaweka tena maudhui hadharan, akaamriwa fine 5Ml zikatolewa case kwisha, sasa hizo adhabu unazozisema wee kutoka wapi? Km kutoka ktk vitabu vya dini mbona sijawahi ona dini au dhehebu lolote kuwahi kutekeleza hizo adhabu, ingali wapo wanao onesha wazi wazi suala hili hadharani.
Ni muda sasa jamii iwe buzzy na mambo ya msingi na yenye tija ktk kuleta maendeleo ya Taifa kwa ujumla, na sio kuwa buzzy kupinga suala la rasilimali ya mtu binafsi, tena ikiwa hawawezi kutatua tatizo hilo kamwe, ni upotevu wa muda.
Live ur own lyf, n mynd ur own bznes.
Tunaishi mara 1 tyuuh..........
Hoja ya mabadiliko kwangu kuhusu suala hili halifanywi kwa ushauri wa mtu wa nje, maamuzi ya mabadiliko yatafanywa na mie mwenyewe binafsi km nikitaka.sawa dogo kila mtu aishi maisha yake Ila unayo nafasi ya kubadilika Kama case yako haihusiani na hormonal imbalances Ila Kama umejifunza tu tafadhari dogo badilika muombe na mungu pia na usione ufahari Sana Labda ungekua nchi za mabeberu huku afrika hio haikubaliki katika utamaduni wetu
Kila mtu ana Uhuru lakini siyo kutuwekea picha za kuchefua.Ni sawa nasubiri kunyooshwa na huyo Mungu mwenyewe muweza wa yote, mie ni binadamu sijakamilika huwa nakosea hata ikiwa nje ya LGBT ni mkosefu pia, na kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.
Sijakataa kuambiwa ukweli pale napokosea wala sidhani km naogopwa ndani ya hii forum, maan hata mie mwenyewe hakna ninaye muogopa.
Nafuata misingi na taratibu zote za hii forum, na sijawahi kukiuka, km ningekua navuka mipaka basi mamlaka husika inge deal na mie ipasavyo, kulingana na kosa lenyewe.
Na kuhusu hili la picha za jana hujui chanzo ni kipi, labda ungeuliza vizuri ueleweshwe, mie n mstaarabu san najua mipaka ya mawasiliano, kuna muda personal attacks zinakuja kwangu na matusi, kejeli na maneno yasiyofaa, huwa najibu kwa hekima tyuuh japo ninayemjibu lazima akwazike.
Kuhusu malezi na misingi ya dini, ni sawa nilikua napoteza muda, sidhani kwa hilo km kwako ni tatizo. Hakuna mwanadamu yeyote aliyekuwa mkamilifu, na hakuna jipya chini ya jua. Pia vitu na viumbe wote wema na wabaya wote ni wa Mungu, maana viliumbwa na yeye.
Hivyo niseme kila mtu ana uhuru wa kuishi vile anavotaka, pasipo kukiuka kanuni, taratibu na sheria za nchi zilizowekwa.
Hakika kabisa kila mtu furaha na amani anajipa yeye mwenyewe. Hongera kwa kutambua hilo,Usibadilike acha vijana wale tope, fanya unavyojisikia unaona kwako ni raha
Uko sawa kabisa kulingana mtazamo au maono yako, km Mungu ataninyoosha ni yeye mwenyewe ndo mtoa hukumu wala sitakua na pingamizi kwake juu ya hilo.Kila mtu ana Uhuru lakini siyo kutuwekea picha za kuchefua.
Sina haja ya kuuliza zimetokea wapi as long as zinakera lazima tuseme.
Wewe endelea tu, MUNGU atakunyoosha tu ..km alinyosha Kijiji chote Cha sodoma na gomora ni Kazi ndogo Sana kukunyoosha.
ndio mkuu hata title ya uzi huu umekaa kichoko sana Huyo choko wamemlea humu sana eti Leo ndo wanashtukaHeee... kumbe kuna mabwabwa 😳😳
Hahaha, muasisi wa uzi bwana Mshana Jr njoo baeleze watu,[emoji23][emoji23][emoji23]ndio mkuu hata title ya uzi huu umekaa kichoko sana Huyo choko wamemlea humu sana eti Leo ndo wanashtuka
Mbona umeambiwa utoe au ulitaka tukuambie vipi?Uko sawa kabisa kulingana mtazamo au maono yako, km Mungu ataninyoosha ni yeye mwenyewe ndo mtoa hukumu wala sitakua na pingamizi kwake juu ya hilo.
Sasa km hutak kuuliza au kujua zimetoka wapi na kwanini ziliwekwa kwa kua zinakuchefua au kukera, ni rahisi sana ungesema tyuuh "cocastic hizo picha ulizoweka sio nzuri au hazipendezi naomba zitoe" wala hakukua na tatizo mbona.
Lakini kupinga au kutoa hoja za kun attack ndo palipokua na mushkeli.
Samahani sana kwa hili, huwa sipendi kukwazika na mie kumkwaza mtu.
Oya uko wapi mimi nipo town nowkulaleeeeki
Mmh yamekuwa haya tena!
Mbele nawahi kufika [emoji38]unapenda siti ya mbele eeh nko iringa now ntakuja ijumaa,, Kuna jamaa anakuja toa mahali kwa dogo,
Mahindi ya kuchoma pekee iwe lunch??Karibuni chakula cha mchanaView attachment 1680313
[emoji23][emoji23][emoji23]Kaka mkubwayes nimeondoka juz tu mbeya uje ule ubwabwa bado zamu yetu,, nasubiri Kaka mkubwa kupanga mahali iyo ijumaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kitenge Cha mdogo wake[emoji23]ya soda lazima blanket la Kaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]