Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Maandishi yangu hayawezi kukubadilisha ila Mungu mwenyewe atakunyoosha..Hakuna heshima yeyote niliyovunja humu, hizo picha zipi zisizokua na maadili? Kwan ukosefu wa maadili n kuwa LGBT? najua kanuni na taratibu zote za hii forum, wala sijakiuka hilo. Hizo picha nilizoweka ilikua ndan ya comment ambayo nilikua namjibu mtu nka ambatananisha na picha ili aaone uhalisia wa kile anachokizungumzia,
Haikua haja ya watu wengine kuhangaika na kufurukuta kuhusu hilo kwani halikua linawahusu, na sidhan km wangekua buzzy na mambo yao binafsi km wangepata na chance kujadili suala ambalo kwao ni tatizo au haliwapendezi.
Umetoa hoja ya kutaka mabadiliko kwangu, unadhan wee ndo unaweza kunibadilisha kwa hayo maneno yako kutoka kwenye vitabu fulani? Mabadiliko yatafanywa na maamuzi yangu mie mwenyewe binafsi km nikitaka. Halafu hakuna hoja nyingine inayoweza kutetea wakati wa pingamizi ktk suala hili zaidi ya DINI?
kuhusu hoja ya DINI kwangu haina nafasi wala mashiko, labda kuwepo na hoja nyingine mbadala naweza kukubali kudadavua, unadhan kila mtu ana imani na hicho unachokopigania ktk pingamizi la suala hili?
Huko kwenye dini mie mwenyewe muumini mzuri tyuuh, nimeanza kushiriki ktk masuala ya dini tangu mdogo nikiwa na miaka 8, nimeshiriki shirika la watoto (KIPAPA), nimetumikia kanisani, nimeimba kwaya. na nimekulia familia yenye msingi imara ktk maadili na malezi.
Lakini yote hayo hisia zangu hazihusiani na hilo, na siwezi kufanya kitu ambacho sina ashiki eti niridhishe jamii inayonizunguka kwa kipi na ili iweje? Naishi vile mie nataka maisha yangu yawe, ili hali sivunji kanuni, taratibu na sheria za nchi zilizowekwa.
Samahani sana kwa maelezo haya, km nitakua nimekukwaza nisamehe tyuuh.
Sipo kukulazimisha kubadilika,na sina hoja nyingine za kupinga nje na dini..kama huzitaki hakuna mahala nimekulazimisha ubadilike..
Picha zako za kishoga zinakera,usidhani tunaogopa kukuambia..unapovuka mipaka lazima tuseme.
Kama wewe unajisikia vizuri na huo ushoga basi ni wewe ila hayo mapicha yanakera,uyatoe.
Kama umelelewa katika maadili ya dini basi wewe dini haijakusaidia..ulipoteza muda.
Mungu ametuagiza tuonyane,na mimi nimetimiza maandiko..nimekuonya..na ilikuwa lazima niongeze na sitanyamaza.

,