kitonga kina Kona nyingi na sio Kali Sana mtera pana Kona Chache Ila Kali mnooView attachment 1678747View attachment 1678753
Barabara ya Iringa - Dodoma
Kona za kutosha, nitajipa homework ya kupata idadi ya Kona baina ya Mlima Kitonga na hiki kipande cha Iringa - Mtera.
Nahisi Kama vile hiki Kipande cha Iringa - Mtera kina kona nyingi kuliko Kitonga.😇
Najua ila nimeitamani tu muonekano3 [emoji2539] ndo zumekuchanganya? Sio pro hiyo lol
Duuuuuh hapo mtera napagopa km nn, hizo kona zinekaa hovyo mno, afadhari ya kitonga lol.View attachment 1678747View attachment 1678753
Barabara ya Iringa - Dodoma
Kona za kutosha, nitajipa homework ya kupata idadi ya Kona baina ya Mlima Kitonga na hiki kipande cha Iringa - Mtera.
Nahisi Kama vile hiki Kipande cha Iringa - Mtera kina kona nyingi kuliko Kitonga.[emoji56]
Nije wap kbsaa mkuuKali ukipata Bei njoo
Afu naona mtandaon insta, fb, na Twitter wanaitangaza San.Najua ila nimeitamani tu muonekano
Ukiachana na muonekano Nokia ni campun imara simu zake zinadumuAfu naona mtandaon insta, fb, na Twitter wanaitangaza San.
milimani huku southern highlands 😂😂Nije wap kbsaa mkuu
Of course though sio kama Kitonga, unajua Kitonga ukichochola ukaingia kule chini ndiyo inakuwa mwisho wa maisha.Duuuuuh hapo mtera napagopa km nn, hizo kona zinekaa hovyo mno, afadhari ya kitonga lol.
Ooooh kumbe, vipi ni bei gan?Ukiachana na muonekano Nokia ni campun imara simu zake zinadumu
Ila kitonga napo pana kisanga mmmh, nikiwa nasafiri kwenda home au kutoka home kuja huku, nikifka kitonga nakua mpolee na kusali San.Of course though sio kama Kitonga, unajua Kitonga ukichochola ukaingia kule chini ndiyo inakuwa mwisho wa maisha.
Wakati hapa Mtera doesn't scare much.
Sijabahatika kujua beiOoooh kumbe, vipi ni bei gan?
Sawa mkuumilimani huku southern highlands [emoji23][emoji23]
Mkuu idadi ya Kona huo mlima Iringa -dom (wanauitaje jina limenitoka) huwezi linganisha na kitonga.Kwenye upande wa Kona Kali nahisi Kitonga ni kali sana kuliko hizi za Mtera.
Kwenye idadi ya Kona nyingi, Mimi pia nilihisi Kitonga kona ni nyingi kuliko hizi za Mtera.
Ingawa nitajaribu kuzihesabu kwa kutumia Google Earth application. Ili tufanye comparison na data za madereva ambao wamekuwa wakizitumia hizi barabara mara kwa mara.
Chache[emoji848]kitonga kina Kona nyingi na sio Kali Sana mtera pana Kona Chache Ila Kali mnoo
[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya wee kuwa mbishi utaona tyuuh.