kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,653
Alinitaka nikakataa kata kataIlikuaje ukazinguananae
Alinitaka nikakataa kata kataIlikuaje ukazinguananae
Sio bar ya kwa wale watu wenye nguo za mabaka mabakaBar ya maeneo ya karibu
Umeliangusha taifa kwa kiasi kikubwa sanaAlinitaka nikakataa kata kata
Sijawahi kuwakaribia hao jamaaSio bar ya kwa wale watu wenye nguo za mabaka mabaka
Oooooh dea si uniite bas, acha uchoyo bhana.Ngoja nimalizane na urojo kwanza[emoji38][emoji38][emoji38]
Nitakuita kaa hapo hapo usiondokeOooooh dea si uniite bas, acha uchoyo bhana.
[emoji846]Mara kibao tu mbona naliangushaga taifaUmeliangusha taifa kwa kiasi kikubwa sana
Alaa kumbe!Ili uwe mwalimu unatakiwa mshamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas, ila mie hii PC nataman kuiuza tyuuh imenishinda uwezo kwa kweli. AaaaahMdogo wangu Mimi hadi umri huu najua gemu la nyoka tu!lile la kwenye nokia za mwanzo mwanzo zile
Kumbe na wewe ni muoga kama mie eeSijawahi kuwakaribia hao jamaa
Miili mizuri hii. Hongereni[emoji328]View attachment 1677115
Aa hujawahi kuambiwaAlaa kumbe!
Hakyamama tena unahitaji viboko we mtu[emoji846]Mara kibao tu mbona naliangushaga taifa
Tena mimi muoga kukuzidi mara 7Kumbe na wewe ni muoga kama mie ee
Hakyamama tena unahitaji majors we mtu[emoji846]Mara kibao tu mbona naliangushaga taifa
Weee usiniambie bhanaTena mimi muoga kukuzidi mara 7
[emoji16]. Tuchapane ?Hakyamama tena unahitaji viboko we mtu
Hapana[emoji16]. Tuchapane ?
kesho uje mbeya Ila kutoka zenj uogelee mpaka ferry usipande boatUmenena vyema sana bill..kesho wikend utakuwa wapi nije nikujoin mwamba wangu