Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Asubhi tu mama mtumishiAmen mtumishi wa bwana
I see.ila kama hamjajipulizia uturi naombeni mkavue hizo nguo tafadhali.Waziri na makamu wake
Mapenzi moments utapakumbuka ukoHebu hukooo
![]()
Tukishavua tuvae nini?I see.ila kama hamjajipulizia uturi naombeni mkavue hizo nguo tafadhali.
Mi naona hata hizo inapendeza tu.Yap ni rangi nzuri ila zinapendeza zaidi kwenye Kucha za bandia.hivi vipisi vyetu havikai poa sana

Kwakweli.hivi kumbe mimi ni mama mtumishi eee...safiAsubhi tu mama mtumishi
Wewe ni yupi?
Mbaki na suti ya asili..kama hunukii unyunyu lkniTukishavua tuvae nini?
Wewe kwako utakuwa mkoloni sana ulifaa uwe mwalimu cha ajabu umesomea U brand managerMi naona hata hizo inapendeza tu.
Kucha za bandia mikononi ni mtihani Sana![]()
Mambo yako meusi kichura kitakuhusuMbaki na suti ya asili..kama hunukii unyunyu lkni
Yule uliye mfocus zaidiWewe ni yupi?
Haki na umri huu bado ni mshamba kabisa wa hizi Kucha.kuna siku nilibandika nilijihisi kama mlemavu tu..ngiri sio ngiri basi tu maisha yalikuwa magumu mnoMi naona hata hizo inapendeza tu.
Kucha za bandia mikononi ni mtihani Sana![]()
Nitashukuru nikiruka kichura ili misuli ikaze.hicho kichura nitaruka saa ngapi ChiefMambo yako meusi kichura kitakuhusu
Hebu niwache mimi huko😆😆Mapenzi moments utapakumbuka uko
Chagua wewe kama usiku safiNitashukuru nikiruka kichura ili misuli ikaze.hicho kichura nitaruka saa ngapi Chief

Sikuachi sasaHebu niwache mimi huko![]()
Usiku kwani mimi mchawi..asubuhi barabarani itakuwa mwake sanaChagua wewe kama usiku safi![]()
kwahiyo walimu ni wakoloni Sana 😂Wewe kwako utakuwa mkoloni sana ulifaa uwe mwalimu cha ajabu umesomea U brand manager
Nikianza timbwili bila bugdha utaniwacha tuSikuachi sasa