Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Ni kiatu tu ndo inajua storyMasaibu ninayoyapitia kukupeleka dinner uliza kitu
Na gatheri ninavyokatafuna eti ndo ukule burger, pizza uliza kiatu
Huwa nacheka pale anaposema
Mi humwita Baby
Juu najua nikimwita Njeri
Hiyo R inaeza geuka L
Na hiyo moment naeza kuwa nimeispoil






