kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,653
737[emoji16]Sema
737[emoji16]Sema
Mbona chapati 1 tu
Ni poa kabisa baba za kwakoHabari za asubuhi mkuu
NAfikiri na nyama pia ni moja.🤪🤪Mbona chapati 1 tu
Za kwangu njema/salama kabisa mkuuNi poa kabisa baba za kwako
Tumshukuru Mungu kwa uhai wa leoZa kwangu njema/salama kabisa mkuu
Utaruka kichura shauri yakoNAfikiri na nyama pia ni moja.[emoji2957][emoji2957]
Amina shemeji yangu kipenzi mzuriTumshukuru Mungu kwa uhai wa leo
Mwambie itabidi turushane kichura hakuna namna🤪🤪🤪usimwambie sasa we nae lohUtaruka kichura shauri yako
Shemeji yako kwa nani hebu usinizibie milango we ngosha..Amina shemeji yangu kipenzi mzuri
[emoji16]Namwambia kidogo tuMwambie itabidi turushane kichura hakuna namna[emoji2957][emoji2957][emoji2957]usimwambie sasa we nae loh
Usimwambie niko chini ya miguu yako ingawa najua umevaa viatu lkni ndo niko chini.si unajuaga hao jamaa wakichukia ni kisanga ee😜😜[emoji16]Namwambia kidogo tu
[emoji16] ukochini ya miguu au simama tu mimi ndiyo niwe chini ya miguu yako nisiseme.Usimwambie niko chini ya miguu yako ingawa najua umevaa viatu lkni ndo niko chini.si unajuaga hao jamaa wakichukia ni kisanga ee[emoji12][emoji12]
Ili unichungulie akuuuu....[emoji16] ukochini ya miguu au simama tu mimi ndiyo niwe chini ya miguu yako nisiseme.
Mbele ya kitu huwa wanaelewa tu.
Wanapigaga watukutu ila kama mwanamke akiwazingua wanauaga tu[emoji846]Ili unichungulie akuuuu....
Nawaelewaga kinyama ila wakija kwenye swala la kupiga [emoji2296][emoji2296]Ninatetemekaga aise
Kumbeeeee sasa napata picha loh..aiseh kuna mmoja aliniambiaga I will kill🙆♀️🙆♀️Niligeuza nilikotoka sitaki hata kumuonaWanapigaga watukutu ila kama mwanamke akiwazingua wanauaga tu[emoji846]
Teh!!...shemeji kwa mme/mpenzi uliyenae mkuu.Shemeji yako kwa nani hebu usinizibie milango we ngosha..
Hebu hukoooo[emoji1][emoji1][emoji1]