Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
na sisi tulikua bado watoto hatujui maisha ni Nini tukarudi mtaani tukachapika vilivyohahahahha mmekula maisha bro....wengine hela ya boom wazaz walikua wanasema tuwape na wao
na sisi tulikua bado watoto hatujui maisha ni Nini tukarudi mtaani tukachapika vilivyohahahahha mmekula maisha bro....wengine hela ya boom wazaz walikua wanasema tuwape na wao
mwaka uliomaliza naona ajira haikua changamoto...mimi nimemaliza 2015na sisi tulikua bado watoto hatujui maisha ni Nini tukarudi mtaani tukachapika vilivyo



sure zamani ilikua angalau hasa education ilikua uhakika wote wanapata shule Ila sisi accounts ilibidi kupiga CPA ndio angalau utasomekamwaka uliomaliza naona ajira haikua changamoto...mimi nimemaliza 2015
nimesota balaa![]()
mwaka uliomaliza naona ajira haikua changamoto...mimi nimemaliza 2015
nimesota balaa![]()



Mimi nina 34
😅😅Hamuweki picha ,mmejisahau am mnajisahaulisha?
Tupia basi ,niamke vzr Rafiki kipenzi
Tupia basi ,niamke vzr Rafiki kipenzi
Nilijua umetupia picha
Si ndo hiyo rafiki yangu kipenziNilijua umetupia picha
Hizo za hivyo sijazoea kuona toka kwakoSi ndo hiyo rafiki yangu kipenzi
Sasa usiongee kwa sauti watu wakasikia..😅😅😅Hizo za hivyo sijazoea kuona toka kwako
HahahahaSasa usiongee kwa sauti watu wakasikia..![]()
😅😅Hahahaha
hongera sana kalumbu.....wakati unamaliza nilikua seco yearmimi nilimaliza 2014 nikawa nachagua sehemu za kufanyia kazi kuna mtu akanitonya Kikwete kauli mbiu yake ni ajira kwa Vijana, unajua anaekuja anakuja ana msimamo gani? utasota ufee
nikapata kazi Oct 2015, huwa namshukuru saba yule mtu sababu niliokua nachagua nao wawili mpaka leo hawajapata.
Kama kawa ata kama Hali sio mzuri tunakomaa adi mwishoni mwa shoomzee baba Safi Sana piga kazi
Hahahaha...Hata maji ya kandoro? Hilo bata mnakulaje sasaKazi na BataView attachment 1668543