Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
MbeyaMi mzima.
Wapi hiyo Ileje, Mbeya, Dar au Dom
Kyela
MbeyaMi mzima.
Wapi hiyo Ileje, Mbeya, Dar au Dom
Muongo wee cc mmmmhCoaster![]()
Tatizo la phys haibebeki na ni rahis kukugeuka aaaah, bas inauma mnoo, una bundi wee kuja paper hollah.Mimi hata ningepewa miaka 10 ya kusoma tena hata 90 tu nisingeweza kufikisha.




Hadi kutengeneza batiki..tunahakikisha tunamtengeneza binadamu anavutia.
Tunampimisha kila kitu![]()





sasa si ungenambia na mie mapema nimgeenda huko Dom kuchukua hiyo faculty.Aaaah cc wee unapenda kukaa mbele et eeeh? Jaman me navoogopa nkiona driver anavo zungusha usukan naona km anapeleka pemben lol.Coaster hiyo mdogo wangu
Nilikaa mbeleView attachment 1668868
Ulikaa mbele ili uwahi kufikaCoaster hiyo mdogo wangu
Nilikaa mbeleView attachment 1668868
Ukimaanisha?
Daaaah chama langu lipo no 5.
Tuliza bolu kijanaUkimaanisha?
🧚♀️🧚♀️🧚♀️Daaaah chama langu lipo no 5.
Acha kuvimba Anne,we bado dogo.
Kuna watu humu wanadhani mimi mtoto mwenzao..hebu waambie mkuu.
Dah ninekumbuka kota za Tanesco na timu ya pazi enzi hizo.
Si ajabu niko sawa na mamdogo wakoAcha kuvimba Anne,we bado dogo.