Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni tabia yake tu mbaya na anataka achafue fani ya unesi huku kuna manesi wana roho nzuri hadi unapenda.

Ila kikubwa anatoa huduma.
Yaani we acha tu.
Haulizi hali ya mgonjwa wala nini...anaingia anatoa dozi anasepa! πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila walau kweli huduma anaitoa πŸ˜„
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nina self control huwezi amini, hadi najishangaa lakini....kuna nyakati unakutana na mtu unashangaa tu this creature lazima niseme neno hahahaha, nikitolewa nje wala sio dhambi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo wewe ni muaminifu kabisa
 
Yaani we acha tu.
Haulizi hali ya mgonjwa wala nini...anaingia anatoa dozi anasepa! [emoji23][emoji23]

Ila walau kweli huduma anaitoa [emoji1]
Mjinga sana
Manesi wa hivyo mimi huwa nawapenda sana.
MUNGU naye anaangalia ndiyo maana hakumpa kuwa daktari mtu mwenye roho ya kishetani namna hiyo [emoji57]

MUNGU anatumia matabibu katika kupitisha uponyaji..km mtu ana element za kishetani namna hiyo basi hiyo kazi haimfai.
 
Kweli kabisa! Kuna wengi wameenda kwenye unesi ilimradi tu yani ila hawapo huko kiwito kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…