Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 3, 2021 #85,481 Da'Vinci said: Arusha city mkuu Click to expand... Nilihisi tu ndugu, ule mlima. Halafu wewe kumbe wakwetu mkuu
Da'Vinci said: Arusha city mkuu Click to expand... Nilihisi tu ndugu, ule mlima. Halafu wewe kumbe wakwetu mkuu
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jan 3, 2021 #85,482 Pendael24 said: Haha, sio St ana wetu huyu Click to expand... Hapana siyo huyu Saint Anne wetu Vipi kwema lakini mkuu
Pendael24 said: Haha, sio St ana wetu huyu Click to expand... Hapana siyo huyu Saint Anne wetu Vipi kwema lakini mkuu
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 3, 2021 #85,483 Karma said: Wapo wengi mno mkuu Tena wazuri kutuzidi sie dada zao Click to expand... Hawezi kua mzuri moja kwa moja ndugu yangu, mfano uzuri was mwanamke unakamilika kifuani kwake, Sasa mwanaume matiti atayatoa wapi
Karma said: Wapo wengi mno mkuu Tena wazuri kutuzidi sie dada zao Click to expand... Hawezi kua mzuri moja kwa moja ndugu yangu, mfano uzuri was mwanamke unakamilika kifuani kwake, Sasa mwanaume matiti atayatoa wapi
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Jan 3, 2021 #85,484 Saint Anne said: Hilo mbona sina wasiwasi.. Yaani nikikuona namuona Yusuph wa agano la kale Na vile nakupenda Sasa Click to expand... Khee Dada Unamjua Mpaka Yusuph
Saint Anne said: Hilo mbona sina wasiwasi.. Yaani nikikuona namuona Yusuph wa agano la kale Na vile nakupenda Sasa Click to expand... Khee Dada Unamjua Mpaka Yusuph
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 3, 2021 #85,485 T 1990 ELY said: Hapana siyo huyu Saint Anne wetu Vipi kwema lakini mkuu Click to expand... Kwema boss tunaimaliza weekend ya mwanzo wa mwaka wetu huu wa 2021
T 1990 ELY said: Hapana siyo huyu Saint Anne wetu Vipi kwema lakini mkuu Click to expand... Kwema boss tunaimaliza weekend ya mwanzo wa mwaka wetu huu wa 2021
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Jan 3, 2021 #85,486 Eli79 said: Hivi ni Yusuf ndio alikimbia utamu wa mke wa mfalme? Yusuf wa leo yuko wapi Click to expand... Alikimbia utamu wa mke wa boss wake Daddy kama nakuona ungekuwa wewe vile usingemuacha salama huyo Mke wa watu
Eli79 said: Hivi ni Yusuf ndio alikimbia utamu wa mke wa mfalme? Yusuf wa leo yuko wapi Click to expand... Alikimbia utamu wa mke wa boss wake Daddy kama nakuona ungekuwa wewe vile usingemuacha salama huyo Mke wa watu
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,131 Jan 3, 2021 #85,487 .
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,592 Reaction score 119,710 Jan 3, 2021 #85,488 Karma said: Alikimbia utamu wa mke wa boss wake Daddy kama nakuona ungekuwa wewe vile usingemuacha salama huyo Mke wa watu Click to expand... Ingekulikana huko huko hakyanani!
Karma said: Alikimbia utamu wa mke wa boss wake Daddy kama nakuona ungekuwa wewe vile usingemuacha salama huyo Mke wa watu Click to expand... Ingekulikana huko huko hakyanani!
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 3, 2021 #85,489 Karma said: Alikimbia utamu wa mke wa boss wake Daddy kama nakuona ungekuwa wewe vile usingemuacha salama huyo Mke wa watu Click to expand... Binafsi sijawahi kuona utam wa mke wa mtu.
Karma said: Alikimbia utamu wa mke wa boss wake Daddy kama nakuona ungekuwa wewe vile usingemuacha salama huyo Mke wa watu Click to expand... Binafsi sijawahi kuona utam wa mke wa mtu.
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jan 3, 2021 #85,490 Pendael24 said: Kwema boss tunaimaliza weekend ya mwanzo wa mwaka wetu huu wa 2021 Click to expand... Vizuri sana kama ni kwema Boss Ndiyo tunaimalizia weekend hii mkuu Nipo hapa nachunika sijui mchunaji atakubali kuchunwa
Pendael24 said: Kwema boss tunaimaliza weekend ya mwanzo wa mwaka wetu huu wa 2021 Click to expand... Vizuri sana kama ni kwema Boss Ndiyo tunaimalizia weekend hii mkuu Nipo hapa nachunika sijui mchunaji atakubali kuchunwa
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,208 Reaction score 770,353 Jan 3, 2021 #85,491 Pendael24 said: Binafsi Nina roho nyepesi siwezi kuona mateso ya kiumbe chochote nikawa comfortable. Click to expand... Oooh pole sana mkuu
Pendael24 said: Binafsi Nina roho nyepesi siwezi kuona mateso ya kiumbe chochote nikawa comfortable. Click to expand... Oooh pole sana mkuu
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Jan 3, 2021 #85,492 Pendael24 said: Hawezi kua mzuri moja kwa moja ndugu yangu, mfano uzuri was mwanamke unakamilika kifuani kwake, Sasa mwanaume matiti atayatoa wapi Click to expand... Kwako wewe ndiyo unaona uzuri ni matiti Ila uzuri ni suala mtambuka na pana sana na uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji kila mtu ana namna yake ya kudefine uzuri
Pendael24 said: Hawezi kua mzuri moja kwa moja ndugu yangu, mfano uzuri was mwanamke unakamilika kifuani kwake, Sasa mwanaume matiti atayatoa wapi Click to expand... Kwako wewe ndiyo unaona uzuri ni matiti Ila uzuri ni suala mtambuka na pana sana na uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji kila mtu ana namna yake ya kudefine uzuri
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,208 Reaction score 770,353 Jan 3, 2021 #85,493
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 3, 2021 #85,494 Karma said: Khee Dada Unamjua Mpaka Yusuph Click to expand... HB wa dunia nzima ambaye hajawahi kutokea mwingine kama yeye.
Karma said: Khee Dada Unamjua Mpaka Yusuph Click to expand... HB wa dunia nzima ambaye hajawahi kutokea mwingine kama yeye.
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 3, 2021 #85,495 T 1990 ELY said: Vizuri sana kama ni kwema Boss Ndiyo tunaimalizia weekend hii mkuu Nipo hapa nachunika sijui mchunaji atakubali kuchunwa Click to expand... Kwa Nini asikubaki! Kisu chako tu boss mradi kisikose makali
T 1990 ELY said: Vizuri sana kama ni kwema Boss Ndiyo tunaimalizia weekend hii mkuu Nipo hapa nachunika sijui mchunaji atakubali kuchunwa Click to expand... Kwa Nini asikubaki! Kisu chako tu boss mradi kisikose makali
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,208 Reaction score 770,353 Jan 3, 2021 #85,496
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,208 Reaction score 770,353 Jan 3, 2021 #85,497
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Jan 3, 2021 #85,498 Eli79 said: Ingekulikana huko huko hakyanani! Click to expand... Aahh wewe tena Wanaume design ya Yusuph walishakufa hata kabla Yesu hajapaa Mbinguni
Eli79 said: Ingekulikana huko huko hakyanani! Click to expand... Aahh wewe tena Wanaume design ya Yusuph walishakufa hata kabla Yesu hajapaa Mbinguni
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 3, 2021 #85,499 Jack Palladino said: Mchumba mhh Saint Anne View attachment 1666778 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sijui jina langu litakuwa linasemaje loh
Jack Palladino said: Mchumba mhh Saint Anne View attachment 1666778 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sijui jina langu litakuwa linasemaje loh
My Sons Legacy JF-Expert Member Joined Feb 4, 2019 Posts 3,603 Reaction score 11,883 Jan 3, 2021 #85,500 donlucchese said: .View attachment 1666850 Click to expand... Bro you are addicted with alcohol