win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,169
- 37,803
spidernyoka upo we jihan Mallerina useme tena umepitwa
Nipoooooospidernyoka upo we jihan Mallerina useme tena umepitwa
umechelew tena😥,, ngoj nimalizie haka ka kazi nairudia😘Nipoooooo
Ayaaaaumechelew tena😥,, ngoj nimalizie haka ka kazi nairudia😘
spidernyoka nipo hapa kukusikiliza🤣tuMallerinampe mwenzio anachotaka
Selfika uduguu 😹Wee tena, 😂😂😂
Watu mna mahaba, mtatuponza na wengine tuwaige tupigwe matukio 😹😹😹Nakupenda sana muhansamu wangu.
😘😘💋💋
Mzungu wa kuchovya 😹😹😹Mlete mzunguuuuuuuuu🥰🥰
😹😹😹 Ujue mi kudanganywa ni ngumu sana..!!bado naweweseka lamoo!!!
Legend uzi wako umekuwa mzuri sana lakini kuna baadhi ya raia wamekuwa na mambo ya hovyo hovyo 🤣
Katika watu siwezi waongopea basi ni wewe!!😹😹😹 Ujue mi kudanganywa ni ngumu sana..!!
Taja hao raia kwa faida ya members....🤣😹Legend uzi wako umekuwa mzuri sana lakini kuna baadhi ya raia wamekuwa na mambo ya hovyo hovyo 🤣
Wanasahau nyuma ya hizi I'd kuna maisha halisi
mchonganishi sana😄😄Taja hao raia kwa faida ya members....🤣😹
Nyuzi nyingi tu nimepitia naona watu wanakuwa seriously sana humu kuliko maisha halisi 😀Taja hao raia kwa faida ya members....🤣😹
Bismillah MashaAllah 😊Mzungu wa kuchovya 😹😹😹
🤣🤣🤣sio 2006 labda 2016
Ule uzi una ukwli mtupu🔥Nyuzi nyingi tu nimepitia naona watu wanakuwa seriously sana humu kuliko maisha halisi 😀
Kuna uzi nimeandika jukwaa la complaints, congratulations pitiable kule
😂😂😂 kwanini uduguu?Watu mna mahaba, mtatuponza na wengine tuwaige tupigwe matukio 😹😹😹