Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Duh mkuu michoro gani hii watuchorea?ဪဈုံဈကသတညငပျညသျက့တာူတဘျင
Duh mkuu michoro gani hii watuchorea?ဪဈုံဈကသတညငပျညသျက့တာူတဘျင
Tuone na sura sasaနမပြူ့ညို့View attachment 1666562
Sijui sasaDaaah nilipitwaje
Teh mie siwezi kuwa na Mwanaume aliyenizidi uzuri kwa kweliHata nikienda sehemu watu wanageuka kuwaangalia wanangu![]()
Sasa wote tuwe wabayaTeh mie siwezi kuwa na Mwanaume aliyenizidi uzuri kwa kweli

Nilikua naitafuta ila nimeshindwa kuifikia huu uzi unatembea mnoSijui sasa
Ila sikufuta,bado ipo
Ni uzembe wa hali ya juu sana kushindwa kuipata picha ya jana usikuNilikua naitafuta ila nimeshindwa kuifikia huu uzi unatembea mno
sawa bwana!Ni uzembe wa hali ya juu sana kushindwa kuipata picha ya jana usiku
Mughonile mwesa?
Ndagha ngubhapon'ya mungamu ja Kyala..
Ndagha gwe simara ,ndagha na gwe akupile ilift inguti ndagha fijo naloli![]()



umweeee kya kughu hiki
Nyingine nimeweka Avatarsawa bwana!
ila nimefanikiwaa kuziona
Hizi lugha nzuri tu kuandika,kuongea ni kasheshe ingine,kikupilisyaikuti nungwe ukhulonda lifutiii?? Kinyakyusa kigumu mwee![]()
wahooo! so nice good girlNyingine nimeweka Avatar
Hapa nimeambulia kyala-MunguMughonile mwesa?
Ndagha ngubhapon'ya mungamu ja Kyala..
Ndagha gwe simara ,ndagha na gwe akupile ilift inguti ndagha fijo naloli![]()
Nimekupm mchumba!Hizi lugha nzuri tu kuandika,kuongea ni kasheshe ingine,kikupilisya
daaha pole sana ndugu yangu, mimi nilijua ni sisi ndio tunaokuwa kwenye wakati mgumu tukienda ukweni kumbe hata nyinyi pia?usinikumbushe siku naenda kutambulishwa kwao na mchumba angu aisee nilienda nimevaa gauni ya kitenge hyo ndefu alafu pana hahahaha mpk mchumba mwenyewe hakuamin kama ni mimi na kichan nakwambia nilifunga na kirembajmn nilifika tu baba mkwe ananiita akanipeleka zizini nichague mfugo wa kuchinjiwa...sita isahau hyo siku nilichagua kondoo nikachinjiwa..nikapewa mawe nipange mafiga mtoto wa watu mimi sijawai pika ugali kwa mikono miwili toka niwepo jmn ila sikujali nilivua gaun langu nikaweka kando nikavaa dela nikapanga mafiga nikawasha moto nikatenga mboga uku mawifi na wake na mashemej wananiangalia tu jmn
imagen sikuonesha hasira kbsaa nilipika yule kondoo then nikatenga sufuria la ya ugari
kwenye kusonga ilikuwa kimbembe niktazama watu ni nyomi kishenzi wa 16 walikuwepo pale ukweli nilimuita mama mkwe nikamwambia tu ukweli siwezi kusonga ugari wa watu 16 wa watu kumi tu sijawai nilicho kifnya nilimfata kijan ake nikamwambia baby si unajua bdo naumwa eeh maan nilikuwa na wiki 2 toka nialibikiwe ujauzito ndo kamfata mama ake kumwambia hyu bdo anaumwa harusiwi kufanya kazi ngumu hahahahah
sita sahau kwa kweli ukweni mkusikie tu hakunaga mazoea
powaa wewe jeMambo zenu