Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,199
Mchumba watu wanataka wakuone [emoji7]
Mchumba watu wanataka wakuone [emoji7]
Mdogo wangu karma na mjomba Eli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumve Co vanillah lol, jomoneeeh dea mmhUsije ukakata moto tu[emoji16]
Wataniona siku ya mahari Mchumba!..very soon!Mdogo wangu karma na mjomba Eli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiwe mwingi wa hasira shem, nilikuwa najaribu kufikiria utakuwa timu gani ghafla nikaangukia Man United.
Natoka kucheki mechi hapa ni kama tumeshinda 4 bila aloo dah![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nilijua tu utasema hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe cheka tu shem ake, kicheko kina faida nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana.. Heri ya Jumapili Shem lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani ShemWewe cheka tu shem ake, kicheko kina faida nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Heri ya j'pili kwako pia...
nkamu night night......unishtue ubungo hapa
Naomba lift nkamu gwangu
Picha za kuchukulia point 3 mahali hizi [emoji23][emoji23]
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]HB mno zaidi ya Reymysterio ndiyo maana haweki[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mkuu sema juu hapo ndio panaharibu picha kabisa siunajua sura zetu hahaPicha za kuchukulia point 3 mahali hizi [emoji23][emoji23]
Yaani vitoto vitatoka fureshiii[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Mmhh
HahahaNkamu mimi mwenyewe nimepewa lift ujue
Dahh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daddy kusema ukweli hata mimi huyu mtakatifu nimeanza kuwa na mashaka naye aisee
Hahahhaamkuu sema juu hapo ndio panaharibu picha kabisa siunajua sura zetu haha