Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo sikuiona[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Kihombo aliingiaje tena wakati alikuwa ameshakufa??
Kuna jamaa mwenye avatar ya nyerere jamaa anaponda ukisoma comments zake unaweza zimia kwa kicheko[emoji119][emoji23]
hahahahahahahaa nkamu ulisimama imara sana......kuna jamaaa mlibishana weee sijui ukamuita dogo mada ikahama akamaind kwann umemuita dogo
 
hahahahahahahaa nkamu ulisimama imara sana......kuna jamaaa mlibishana weee sijui ukamuita dogo mada ikahama akamaind kwann umemuita dogo
Ana matatizo yule[emoji23]
Na nilipania kukachamba kwelikweli bahati kaliwahi kuondoka maana ningekashangaza ile siku.
Eti badala tumdiskasi Kihombo akaanza kujishaua eti mm sio ndugu yake na kiingereza chake kibovu vile kama barabara ya makambako-mbeya ilivyo na viraka,na hapo Ni baada ya kumwambia naye ajaribu kukariri afu apate kama jamaa ili tujue kweli jamaa alikuwa wa Kawaida... yaani utadhani kuna sehemu nilimwambia nataka undugu naye,awe ndugu yangu aringe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nilikua nasoma kila comments wazee wenzangu wa Hkl tulikasirika sana....
Shida siyo HKL[emoji23][emoji23]shida ni wivu tu!

Mbona Mimi nimesomea tu ufundi cherehani na sports and games [emoji14][emoji14][emoji14]ila nilionyesha appreciation kwa jamaa
 
Off to Dar
Kiwira
IMG_1583.jpg
 
Au ngoja nimwite aweke picha yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eli79 Kuna siku ulinisihi nimtag Bebe wangu,nimemtag Sasa Jana[emoji23]
Jack ndio bebe wako? Na yule mnabebishana kila siku... Kumbe mtakatifu nawe una mambo meusi eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jack ndio bebe wako? Na yule mnabebishana kila siku... Kumbe mtakatifu nawe una mambo meusi eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Jack ndiye mchumba wangu,mume mtarajiwa Mwaka huu mtakula ubwabwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yule si alikuja kuchangamsha uzi,nikasema wacha na mm niunge mkono maana watu huwa wanapenda sana movi za vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na niliona umeifurahia sana[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom