Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ndio hapo sasa.wivu tu usikute ulikua unabishana na ma HKL yanajua physics Ina vishazi huru
Kuna wengine hata hiyo physics ya form 4 tu hawakuisoma ila walikazana kusema physics unakariri tu!
Yaani hakuna siku nimebishana na watu humu Kama hiyo siku.
Wengine nikagundua hawakuisoma hiyo Combi ya jamaa na hata hiyo 1.3 achilia mbali wastani wake hawakunusa.
Mwingine akaja akasema sayansi ni rahisi kuliko arts maana eti sayansi unasoma vitabu vichache tu umeshamaliza.. yaani nilijisikia kucheka sana..hapo haijui hata Chand moja tu ina uzito gani.Kuna jamaa alikuja kumjibu,huyo Sasa ndo alinivunja mbavu



Sasa kihombo aje kuchambana huku na alishakufa

