Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
tuonee tu 😊 , usiku mwema feel sleepyManchester inaleta magonjwa ya moyo![]()
tuonee tu 😊 , usiku mwema feel sleepyManchester inaleta magonjwa ya moyo![]()
Hahhaha
Ila Anne kabishi bwana






ya shunnie sketi ww umeweka gauniMbona nimeweka jamani.
Si ile picha nimeweka mwanzo
Ndio madhara ya kunywa pombetuonee tu, usiku mwema feel sleepy

Yake pia ni gauni.ya shunnie sketi ww umeweka gauni
dah kumbe ulikua unamtetea Elias dah ni ndugu yangu kabisaa upande wa mama msibani nilienda
Yaani siku zile nilibishana hadi kuna watu wakaniuliza PM Kama huyo T.O Elias alikuwa ndugu yangu![]()
Kiuno cha asha Boko amaizing au sio!Kama chako kitu ameizingi
Nani Mwenye mke Kwani, mie ?
Nirudia Naomba niitwe " Mr St Anne "
Nimeamua tuu sitaki maswali jaman![]()


hahahahahaha nilikua sijaelewa haji manara......Na we unabishana na haji manara wangu.![]()
Nawazoom tu wanavyoangaika!

mbona nilikunywa tatu tu sema leo nilikua nasafari so sijapumzika mama hapa anamind nalala wakat hatujapiga storiNdio madhara ya kunywa pombe
Ona Sasa usingiz umekukamata mapema




Watu walimtupia mishale sana.dah kumbe ulikua unamtetea Elias dah ni ndugu yangu kabisaa upande wa mama msibani nilienda
Ndi nkamu gwako kumbeya kwa mwakalelihahahahahaha nilikua sijaelewa haji manara......
msemaji wako sio??....@st annie sijui ni Mkinga ni mbishi sijawai ona duniani alibishana na kijiji kule hoja mchanganiko

Yupi?
Mwee siyo yule mwingine tena






Uliacha kupiga stories na mama wewe ulikuwa iyunga kunywambona nilikunywa tatu tu sema leo nilikua nasafari so sijapumzika mama hapa anamind nalala wakat hatujapiga stori

walikua na wivu tu jamaa alikua fundi Sana Mimi alinipiga Sana pindi za hesabu nililia Sana kwa Mara ya kwanza toka nizaliweWatu walimtupia mishale sana.
Yote niliibeba.
Jamaa walikuwa wanabisha eti hakuna genius,eti alibahatisha!
Yaani 1.3 abahatishe??
99 ya physics hata mtu angekuwa mchawi vipi habahatishi bila kuwa genius.
Kungekuwa na tuzo za kubishana siku ile ningepata
Yes mchumba!Mchumba![]()

Wachaaa


