Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Mimi nipo mwezi mzima mpaka atanichoka š¤£š¤£Uliacha kupiga stories na mama wewe ulikuwa iyunga kunywa
Wamama wana upendo sana..kaa ongea naye,acha kulala wewe.
Mimi nipo mwezi mzima mpaka atanichoka š¤£š¤£Uliacha kupiga stories na mama wewe ulikuwa iyunga kunywa
Wamama wana upendo sana..kaa ongea naye,acha kulala wewe.
Hahhaha basi waachie wenzio wanaopenda vitambi vyetuhahahaha aisee demu mwenye kitambi ananiboa.
ingawa mimi ninacho cha balimi najua naboa pia
Babe kitambi cha beer kimeniponza.
Jamani ndiyo umefuta kabla sijaona





uka nnyakyusa ughweee hahahahahha......mbishi mnoo ku jamii forum bhanyakyusa tulibhingi mpKa muda nimehesabu tuko wanne....bhanyaki oyeeeNdi nkamu gwako kumbeya kwa mwakaleli![]()
Hahhahahhah
Yaani siku zile nilibishana hadi kuna watu wakaniuliza PM Kama huyo T.O Elias alikuwa ndugu yangu![]()
Sijavaa sketi mimiya shunnie sketi ww umeweka gauni
Ewaaah na beer hatuachi hata kama tuwe na vitambi kama pipa
Watu na vitambi vyetu bana




Tafuta ule uzi wake usome uone watu walivyokuwa wakitoa kejeli.walikua na wivu tu jamaa alikua fundi Sana Mimi alinipiga Sana pindi za hesabu nililia Sana kwa Mara ya kwanza toka nizaliwe



chaa!!nimepata faraja hauna mkuuHahhaha basi waachie wenzio wanaopenda vitambi vyetu
Siku ya Kwanza ule munkari wake huwezi linganisha na siku nyingine.Mimi nipo mwezi mzima mpaka atanichoka![]()
Msemaji wangu ndio sasa unabishana nae kabisa haji manara wanguhahahahahaha nilikua sijaelewa haji manara......
msemaji wako sio??....@st annie sijui ni Mkinga ni mbishi sijawai ona duniani alibishana na kijiji kule hoja mchanganiko
TumboWachaaa
Kwahio yul sio wewe
Wewe upo kama Ashaboko ?![]()

Haji manara wangu umeanza sasa hatupo tukuyu hapaNdi nkamu gwako kumbeya kwa mwakaleli![]()
wivu tu usikute ulikua unabishana na ma HKL yanajua physics Ina vishazi huruTafuta ule uzi wake usome uone watu walivyokuwa wakitoa kejeli.
Watu wanashangaza sana,yaani mtu ametangazwa T.O na anasovu maswali yote ya physics mkimpa ila wanabisha wanasema alikuwa wa Kawaida
Wengine wanasema eti alikariri ty,elimu ya kukariri,,km ni ya kukariri mbona kila mtu angepata hiyo one ya 3..paper ya physics hata ingekuwa kesho mchana ,wakupe marking scheme usiku huu ulale nayo ..kama ulikuwa huielewi hutoboi.
Sasa 98,99,98,97 % wastani wa 98% bado wanasema jamaa wa Kawaida![]()
Hapana ninachonimepata faraja hauna mkuu
huwa anakichezea chezeaYaani unavyoongea bila uoga!mbona nilikunywa tatu tu sema leo nilikua nasafari so sijapumzika mama hapa anamind nalala wakat hatujapiga stori


Haji manara wangu umeanza sasa hatupo tukuyu hapa














msema kweli mpenzi wa mungu kwaio 3 unaona Kama nyiiiiingiYaani unavyoongea bila uoga!
Eti tatu tu!![]()