Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,496
- 235,192
Mma,Basi wewe una makengeza nkamubwana weeeeee Shunnie ana kitambi bana
Mma,Basi wewe una makengeza nkamubwana weeeeee Shunnie ana kitambi bana
HahahaMma,Basi wewe una makengeza nkamu
sipati shida....st annie ananibishia ndio shida yanguSasa kwani me nimebishaaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitambi changu upate shida wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona Safi Sana hio Tena umependeza na hio figure mungu anisaidie najua mzee shabiki wa man utd hatuwezi shindwana kwenye mahali
oooh kumbe nguoMimi sijaona kitambi kwenye picha yake.
Hiyo nguo ukivaa lazima ikuchore hivyo. Hata mm picha ya mwanzo mbona imenichora tumbo.
Na we unabishana na haji manara wangu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sipati shida....st annie ananibishia ndio shida yangu
Kuna uzi flani wa T.O alianzisha Baba swalehe niligeuka mtetezi wa huyo T.O hadi watu wakahisi alikuwa ndugu yangu.Hahaha
Anne umegeuka haji manara wangu ghafla [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nguo imenishika sanaoooh kumbe nguo
Sasa hiyo nguo si inachora tumbo na kitovu.oooh kumbe nguo
😂😂 dah nyie madogo mtapata laana mmemkataza dawa ya roho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulimkataza kuangalia mechi za man u
Zisije pandika Pb zaidi.
Tutabishana hadi kesho hapa.sipati shida....st annie ananibishia ndio shida yangu
Kuna uzi flani wa T.O alianzisha Baba swalehe niligeuka mtetezi wa huyo T.O hadi watu wakahisi alikuwa ndugu yangu.
Uzi comments 1000 nilikomaa nao usiku na mchana[emoji38][emoji38]
HahhahaTutabishana hadi kesho hapa.
Hiyo picha haina kitambi
hahaha hapo sawa......kwann nguo hizo huleta sana kitambi ww sio wa kwanzaNguo imenishika sana
nimeelewa tatzo ni nguo....una nguo kama hyo tupime kama tatzo ni nguo au shunnie ako na kitambiTutabishana hadi kesho hapa.
Hiyo picha haina kitambi
hahaha hapo sawa......kwann nguo hizo huleta sana kitambi ww sio wa kwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeelewa tatzo ni nguo....una nguo kama hyo tupime kama tatzo ni nguo au shunnie ako na kitambi
Manchester inaleta magonjwa ya moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nyie madogo mtapata laana mmemkataza dawa ya roho
Kama chako kitu ameizingiNdio kiuno gani mkuu?
Mimi sitaki kuwa mke wa pili[emoji23]
hahahaha aisee demu mwenye kitambi ananiboa.Kwahiyo na kitambi huwezani etiii
Mbona nimeweka jamani.nimeelewa tatzo ni nguo....una nguo kama hyo tupime kama tatzo ni nguo au shunnie ako na kitambi
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Ni mdogo wangu mkuu