Napenda kuwatakia Kheri ya mwaka mpya,
Depal, rafiki na ndugu angu wa faida,

Chakorii , kipendhiiiii na ni zaidi ya kila kitu kwangu.

Saint Anne , mtakatifu, na mshauri wangu, ni zaidi ya mlezi.
mtu chake , daddie ake mimi, naomba unisamehe km nimekukosea, unavonichunia naumia moyo kid ako.
@Zoë , huyu ni mommy angu, ila amepotea San sijui yuko wapi nime mmiss moah.
Culture Me, babeeh ake mie, vile unajua nakupendaga.
moj6 , Ex nimekumiss moaah, nisamehe bado nakupenda.
yna2 , ni cc angu wa damu, unajua mdogo ako najivunia kua na dada km wee
Karma , ni 1 kat ya watu ninao wa admire San humu, love u.
Heaven Sent , wewe ni kiongozi wa mafunzo ya maisha kwangu, nakupenda sana.
amu , shangazi angu wa ukweli, nimeku miss San.
Lizzy, ni rafiki angu wa faida.
Na wengine wote, nawatakia kheri, baraka, fanaka tele.
Love urs moaah.
View attachment 1664296