App niliifuta dk kadhaa baada ya kuinstall, ina matatizo kibao. Hapa natumia phoenix browser(Out of point..)
samahan mkuu unatumia version gani ya app ya Jf maana yangu kwenye reaction score hakuna option Nyingine ni thanks tu
Asante kwako pia.Nawatakia heri ya mwaka mpya wanajukwaa hili wote.
Mwaka 2021 ukawe mwaka wa furaha, amani na mafanikio kwenu.
UmejuajeKama ni mpenzi wa mdudu mama leo utaoga balimi![]()
Balimi
Ila akili zako
Umeshafanya mate yanijae mdomoni. Sasa ole wako yanipalie kabla sijanywa hizo balimi.

Chimbo hilo liko wapi hebu fanya maelezo kwa kina nipate kukuibukia huko tukiwasheUmejuaje
Tena leo naenda kupata mdudu chimbo fulani
Sawa tu daddyPanga siku tuonane dota, ila hadi February![]()
Wazidi nona tu mwehView attachment 1663807
Beach sand 🌷
Duuh hivi huyu joshydama yupo kweliNaomba nichukue fursa hii adhimu kuanza kuwatakia heri ya mwaka mpya
Rafiki yangu kipenzi mtu chake..nakupenda
My daddy SHIMBA YA BUYENZE (Sijui umepotelea wapi Daddy.
Mjep my friend you’re missed
Kivuruge wangu jirani Iceberg9
Mtakatifu Saint Anne
Kipenzi cocastic
My sister yna2
Best furend Karma
Jirani yangu joshydama
Na wengine woooooote... nianze kuwatakia heri ya mwaka mpya..yawezekana baade tusionane.
View attachment 1663920
Guys![]()


Tegeta Kibo my dearChimbo hilo liko wapi hebu fanya maelezo kwa kina nipate kukuibukia huko tukiwashe
Upo serious kwani? Nimesema hadi February manake wadogo zako wanaenda shuleSawa tu daddy
Ukiwa tayari utaniambia

natafuta ada.Tusipo tuma picha mnalalama tukituma manaomba kupunguziwa kasi
basi nazifuta














Na wengine woteNaomba nichukue fursa hii adhimu kuanza kuwatakia heri ya mwaka mpya
Rafiki yangu kipenzi mtu chake..nakupenda
My daddy SHIMBA YA BUYENZE (Sijui umepotelea wapi Daddy.
Mjep my friend you’re missed
Kivuruge wangu jirani Iceberg9
Mtakatifu Saint Anne
Kipenzi cocastic
My sister yna2
Best furend Karma
Jirani yangu joshydama
Na wengine woooooote... nianze kuwatakia heri ya mwaka mpya..yawezekana baade tusionane.
View attachment 1663920
Guys![]()
Aaah mume hyooo na mkono wake mfukoni
