Pamoja sana mate.. uwe na mwaka mwema kiongozi.Nichukue fursa hii kuwatakia heri na fanaka katika Mwaka 2021 watu wafuatao
@financial services Ahsante kwa kuwa rafiki yangu wa Mwezi December na urafiki wetu uendelee hivi hivi kipenzi
@Saint Anne Ahsante rafiki kwa Hekima na Busara zako hapa Jamvini
@Da vincci Ahsante kwa maudhui yako yasiyochosha kusoma.!
@sweet manka You are missed my dear.!
@linahbaby Mshikaji wangu aliyepoteaga na hata hajibugu DM zangu tena japo sikuwahi kutofautiana naye
NAWENGINE WOTE AMBAO WAMEIFANYA JF KUWA MAHALI SALAMA NA PAKUVUTIA KUWEPO. MUNGU AKAFUNGUE MILANGOBYA BARAKA KILA MTAKACHOKUWA MNAKIPIGANIA MUNGU AKAWABARIKI KADRI YEYE APENDAVYO AMINA
Wewe wasemaKwani Da vinci naye ni demu ??![]()
Mwanaume wewe au?

Amen, na ikawe heri kwako na familia yako pia. 2021 ikawe ya baraka kwetu, afya, amani na upendo.




Nawatakia mwaka mpya uwe na nuru kwenu nyote WAPENDWA. Be blessed![]()




Hivi dea una nn lakini? Eti cheusi mangara,Sana mtakatifu wangu..najivunia kuwa cheusi mangara![]()



🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂Mercy Rafiki kipenzi
Moaaaah thanks ma kipenziiiiiiiiiih.Naomba nichukue fursa hii adhimu kuanza kuwatakia heri ya mwaka mpya
Rafiki yangu kipenzi mtu chake..nakupenda
My daddy SHIMBA YA BUYENZE (Sijui umepotelea wapi Daddy.
Mjep my friend you’re missed
Kivuruge wangu jirani Iceberg9
Mtakatifu Saint Anne
Kipenzi cocastic
My sister yna2
Best furend Karma
Jirani yangu joshydama
Na wengine woooooote... nianze kuwatakia heri ya mwaka mpya..yawezekana baade tusionane.
View attachment 1663920
Guys![]()








Shukrani sana kipenzi heri ya mwaka mpya na kwako piaNingeweza kuwatagi watu ila ni wengi sana katka sijawasahau@1kush africa ,Iceberg9 T 1990 ELY , @Drizzle,@mshipa,@Tansy,Karma, Chakorii mtu chake wengi mlisubiri nimtagRedpanther Saint Anne Makiseo Joanah kurlzawa @Eli79,Depal na wengine mlio baki jaman
linahbaby anawatakia kheri ya mwaka mpya ukawe mwaka wa mafanikio kwenu
Na mungu awabariki sana![]()




Pamoja sana kiongoziHappy new year, to all of you, ilikuwa ni furaha sana kukutana na nyie wote na kubadilishana mawazo, vi furaha na vi chuki vya hapa na pale, maisha yanaenda, kama kuna niliyemkera, kwa kweli ntahakikisha nnamkera zaidi 2021, kama mwaka unavyoongezeka kila kitu kwangu kitaongezeka, love, hate, kutoa, kupokea, mazoezi, kula, kunywa, kila kitu for sure, itakuwa balaa zaidi...no way i'm backing down, its all love wazee wa selfie
Hahahaha shukrani sana DogoAhsante Kiongozi..uwe na mwaka mwema dogo




Ningeweza kuwatagi watu ila ni wengi sana katka sijawasahau@1kush africa ,Iceberg9 T 1990 ELY , @Drizzle,@mshipa,@Tansy,Karma, Chakorii mtu chake wengi mlisubiri nimtagRedpanther Saint Anne Makiseo Joanah kurlzawa @Eli79,Depal na wengine mlio baki jaman
linahbaby anawatakia kheri ya mwaka mpya ukawe mwaka wa mafanikio kwenu
Na mungu awabariki sana![]()



