Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
Asante saaana.Huu Ni Mwaka alioufanya Bwana
2021
Heri ya Mwaka mpya kwa kila mmoja
•Bwana akubariki na kukulinda
Ulinzi wa damu yake uende pamoja nawe,akulinde na hila na hatari na magonjwa na ajali..ukawe salama.
•Bwana akuangazie Nuru za uso wake na kukufadhili.
Mwanga wake ukafanye njia juu yako ..ukafungue mafanikio katika uchumi na katika Mambo yote.
•Bwana akuinulie uso wake na kukupa amani.
Amani yake iwe pamoja nawe,katika nyakati zote amani yake itawale moyoni mwako..uso Wake uende pamoja nawe.
Natamka mafanikio na Baraka,
Mwaka huu ukawe wa mafanikio
Ukawe wa ushuhuda,ukawe was neema,ukawe wa kuvuka katika Mambo yote.
Mungu akubariki kazi yako ikazae moja kwa thelathini hadi Mia.
Upendo wetu uzidi kudumuView attachment 1664348
Lakini dua hii ni kwa kila mtu au ni baadhi ya wenye kuamini kwenye mrengo wa hio dua?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app






